Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sidhani
Kama ukiagiza AliExpress unaweza kupata Xiaomi Redmi Note 10 Pro ya (8GB RAM 128GB ROM) lakini battery ni 5000mAh
Ukinunua Bongo unapata Xiaomi Redmi Note 11 ya (6GB RAM 128GB ROM) au Xiaomi Redmi Note 10S ya (6GB RAM 128GB ROM) ila zote hizi zina 5000mAh battery.
Pia unaponunua simu usiangalie sana RAM, angalia mambo muhimu kwenye peformance kama chipset, GPU n.k
Kiufupi angalia SoC nzuri kisha RAM utachagua baadae, kuna simu zina 8GB RAM ila peformance ni utumbo tu ila nilizokutajia hapo kwa bei yake peformance ipo poa.
Samahani mkuu, kwa sisi tusiojua hizo SoC ulizosema tunafanyaje ili kuzijua na ikiwa ngapi ndio nzuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu. Mkuu Chief-Mkwawa na Reuben Challe naombeni ushauri. Simu ya Xiaomi inayotoa picha hali kwa bajeti ya laki 5.
Kwa simu ya haraka haraka ambayo unanunua tu ni Redmi note 12 Tigoshop inaanzia 430,000 sema simu za redmi hizi zinataka Gcam unadownload ili kuongeza Quality ya picha. Sema hizi simu ni low/mid range hivyo expectation zako nazo zisiwe kubwa.

Alternative ni simu za Kuagizishia China Redmi note 12 Turbo, around 550,000
 
Asante sana. Nitaagiza mkuu
 
Mkuu Kilangi masanja leo hii umesahau hata msaada wangu kwako hadi unanichunia? Unasoma unajibu wengine. Ama kweli hii dunia tenda wema uende zako.
Ngariba kaka kiukweli usinielewe vibaya pengine nilikua sijatulia kaka kwa hizo rate naona note 12 pro ila mimi juzi nimenunua mi 11lite 5g iko chepaer kidpgo aliexpress 560 hivi ila ni nzuri ila ukiweza chukua 12 turbo mjini pindou
 
Hakuna shida mkuu. Nimekusoma. Asante kwa ushauri mkuu.
 
Habari wanaxiaomi, kuna hii simu redmi note 12 pro plus, nimeona alliexpress ni kama laki Tisa pamoja na usafiri, sijajua Kodi baada ya kupokea. Ila hapa bongo kuna duka wanauza 950,000 naona kama bora kuchukulia bongo Tu, naomba kujua kama hizi redmi za bongo ni Sawa na zile za kuagiza ila pia naomba ushauri kwa bei kama hiyo ni simu gan nzuri naweza kununua
 
Achana na hio bei ni upigaji bora udake zako turbo ziko around600k processor ya kisasa na ya flagship pia unapata storage kubwa manake inaanzia 256
mkuu nimeangalia alliepress, redmi 12 turbo zipo Chinese version tu hazipo Global version ama sio shida? na camera ya nyuma ni 64, ila Mimi nilipenda angalau camera ya 108 mp
 
Back
Top Bottom