Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Samahani mkuu, kwa sisi tusiojua hizo SoC ulizosema tunafanyaje ili kuzijua na ikiwa ngapi ndio nzuri?Sidhani
Kama ukiagiza AliExpress unaweza kupata Xiaomi Redmi Note 10 Pro ya (8GB RAM 128GB ROM) lakini battery ni 5000mAh
Ukinunua Bongo unapata Xiaomi Redmi Note 11 ya (6GB RAM 128GB ROM) au Xiaomi Redmi Note 10S ya (6GB RAM 128GB ROM) ila zote hizi zina 5000mAh battery.
Pia unaponunua simu usiangalie sana RAM, angalia mambo muhimu kwenye peformance kama chipset, GPU n.k
Kiufupi angalia SoC nzuri kisha RAM utachagua baadae, kuna simu zina 8GB RAM ila peformance ni utumbo tu ila nilizokutajia hapo kwa bei yake peformance ipo poa.
Sent using Jamii Forums mobile app