Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvinyo kidogo hauzidi glass mbili for dry wine. Zile sweet hata ukipiga chupa nzima ni sawa.Mvinyo kidogo unaitafsiri vipi? Nusu lita, lita moja au.....
Kama hivyo ndivyo hata wanaokunywa ni special case. Kwani si wote watumia kilaji ni maskini.Hao ni special case
Zisizidi bia 2 ndogo,au konyagi au k vant ndogo.Mvinyo kidogo unaitafsiri vipi? Nusu lita, lita moja au.....
Nashukuru sana Mkuu.1 Thimotheo 5:23
Maandiko yanatuasa kuwa kila kitu ni kwa kiasi.Ha ha ha
Hivi hiki ni kitabu gani?
Duuuhhhh. Ni kile kitabu cha Joshua au kingine?Yoshua Bin Sira
Kaa mbali..🤔Ujumbe unagusa mule mule ukute jana umetumia laki kwenye pombe halafu asubuhi unaamka hata mia huna.
Waaaa ni muadishi gani mkuu? ili nipate kumsoma vizuri?
Kila mtu na kiwango chake,kama chakula vileMvinyo kidogo unaitafsiri vipi? Nusu lita, lita moja au.....
E
Waaaa ni muadishi gani mkuu? ili nipate kumsoma vizuri?
Nashukuru sana Mkuu.
Kuna ile ya"Amelaaniwa/alaaniwe afirae na afirwae".......nisaidie na hiyo.
Soma hapa wewe