Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Jamani jamani ๐ ๐ Romea kaagiza Heineken. Anyways bado lipo pale pale kwenye chat wachana na majirani ๐
Hivi ile offer iliishia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani jamani ๐ ๐ Romea kaagiza Heineken. Anyways bado lipo pale pale kwenye chat wachana na majirani ๐
๐ฅธ๐ฅธ Niliweka offer mkaipotezea... ili expire hadi siku ingine tena ikitangazwa ๐๐๐.. majirani ni kama fujo tu Julieth.. wasikupe maumivu ya nafsiJamani jamani ๐ ๐ Romea kaagiza Heineken. Anyways bado lipo pale pale kwenye chat wachana na majirani ๐
Hivi ile offer iliishia wapi?
Nitafanyaje sasa? I've to accept kiroho safi ๐๐ฅธ๐ฅธ Niliweka offer mkaipotezea... ili expire hadi siku ingine tena ikitangazwa ๐๐๐.. majirani ni kama fujo tu Julieth.. wasikupe maumivu ya nafsi
Na kweli, offer mliipiga chini ๐๐๐Nitafanyaje sasa? I've to accept kiroho safi ๐
Tatizo haukuwa serious ๐Na kweli, offer mliipiga chini ๐๐๐
Haaa! Julieth.. mtu akiwa serious anakuwaje ? Mie mbona nilikuwa seious sanaTatizo haukuwa serious ๐
Anakuwa anakumbushia ๐Haaa! Julieth.. mtu akiwa serious anakuwaje ? Mie mbona nilikuwa seious sana
Pm zetu hamjibugi, tukiwafata mna tu block acha tutulie tu ๐๐๐๐๐Anakuwa anakumbushia ๐
Pole jamani ๐ ๐Pm zetu hamjibugi, tukiwafata mna tu block acha tutulie tu ๐๐๐๐๐
Tushapoa watuma pm, sasa hivi tuna mbinu zetu mpya๐ฅธ๐ฅธ๐ฅธPole jamani ๐ ๐
Ipo siku kilio chako kitapata majibu.
Ha ha ha!Ha ha ha we jamaa hiki kitabu cha Sira hakipo kwenye vitabu tulivyokubaliana.
leo umetubambaa๐
ni swala binafusi iloMvinyo kidogo unaitafsiri vipi? Nusu lita, lita moja au.....
huu uzi unanichanganya biblia gani wengine mnasomaa๐ ๐ ๐Soma hapa wewe View attachment 1862837
Hapa inategemea na kichwa cha MTU...hahahahahahaMvinyo kidogo unaitafsiri vipi? Nusu lita, lita moja au.....