Walevi na wapenda anasa, huu ni ujumbe wenu

"Usinywe maji tu,kunywa na mvinyo kidogo kwa afya ya tumbo lako"......anayejua ni Thimotheo ngapi anikumbushe jamani.
Mvinyo kidogo unaitafsiri vipi? Nusu lita, lita moja au.....
 
Nashukuru sana Mkuu.
Kuna ile ya"Amelaaniwa/alaaniwe afirae na afirwae".......nisaidie na hiyo.

Soma Mambo ya Walawi 20:13 utakuta andiko linalofanana na hilo, japo hilo uliloliandika likuwepo kwenye bible zilizotumia kiswahili cha zamani katika kitabu cha kumbukumbu la torati katika laana zilizotajwa kwenye kitabu hicho sura ya 27:14 na kuendelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…