Walevi na wapenda anasa, huu ni ujumbe wenu

Si kweli, mimi marafiki zangu wengi ni malaya (machangu, wadangaji) na ndiyo wanaonipa madili ya mjini, mbon sijaharibikiwa? Wewe inabii ukamatwe haraka sana kwa upotoshaji huu.
Ha ha ha
 
Nilichojifunza walevi tunaupendo kuliko nyie raia mnaojifanya ndo watakatifu.. how come unaomba ubarikiwe wakati pembeni yako unaona kunamtu hana hata viatu wala nguo nzuri na wewe unazo mpaka za ziada nyumbani..

Alafu mbaya zaidi unakuwa mchungaji unamiliki hummer Mbili..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unasahau Yesu alivyokwambia Zakayo au sio..

Alafu wachungaji ndo mnaongoza kula wake za watu siku hizi.. kwa kutumia sadaka za waumini[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kuhusu maendeleo.. walevi wengi wanamaendeleo kuliko wanywa soda kwanza huwezi lewa kama huna pesa[emoji28][emoji28][emoji28]..
Unataka niendelee au maana Nina johnnie walker kichwani hapa
 
Inatosha mkuu
 
Ujumbe mzuri kweli!Sasa uje na nyuzi za wasengenyaji,waporaji,wezi,makahaba na malaya,wachawi,wenye husda na vjicho na wengineo utakaowakumbuka.
 
Sisi wanywa pombe ni watu safi sana
 
Mwisho wa siku mistari ya kukemea ulevi ni mingi zaidi..
Hiyo mistari ni kutokana na wahubiri unaowasikia,wengi wanapenda kuhubiri sadaka tu na kuchambua mistari ya onyo tu
 
Hiyo mistari ni kutokana na wahubiri unaowasikia,wengi wanapenda kuhubiri sadaka tu na kuchambua mistari ya onyo tu
Ila ipo kwenye biblie mkuu , sema kunywa pombe sio dhambi, dhambi ni matokeo baada ya unywaji pombe. Kama ukapiga masanga huyo unatililika mdogo mdogo hadi chumbani una show love kwa mke na watoto then ulala zako haina shida.. ila uki balance bible inakataa sana pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…