City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Kawaulize mapadri katoliki agano la kale la Biblia Vitabu walitoa wapi vinavyozidi Jewishi Bible kama makabayo ,Yoshua Bin Sira
nk wakati wayahudi walikuwa na Biblia yao tayari yenye vitabu vya agano Lao na Mungu
Wakristo madhehebu yote nje ya katoliki tumechukua vitabu vyote vya Jewish Bible kama agano la kale kwa sababu ni lao
Katoliki ndio wakaongeze vitabu vingine nje ya Jewish Bible ambavyo wayahudi wenye agano Lao hawavitambui na hawakuviweka kwenye Biblia yao inayotambuliwa na makanisa yote yasiyo katoliki
Ndio maana nasema kanisa katoliki liliviokota majalalani
Kasome hivyo vitabu kanisa katoliki liliviingiza lini kwenye Biblia yao ambayo havitambuliwi na makanisa mengine yasiyo ya kikatoliki waki vi vinukuu hivyo vitabu extra
Jibu wewe.