EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
VilipunguzwaWenye Biblia agano la kale ni wayahudi
Wana Biblia yao kabisa inaitwa Jewish Bible
Sababu agano la kale ni kati ya Mungu na wayahudi. kanisa lilipotaka kuchukua vitabu vya agano la kale lilichukua vitabu vya Biblia ya wayahudi wanayotumia hadi leo bila kuongeza kitabu au kupunguza
Hicho kitabu chako cha Sira wakatoliki walikiokota majalalani hakiko kwenye Biblia ya wayahudi .Wayahudi hawakitambui kwenye vitabu vyao vya agano la kale na ndio wenye agano lao sio wakatoliki waliookota jalalani hicho kitabu ume quote
Kukurahizishia nenda app store ka download Jewish Bible hicho kitabu hakimo
Na Jewish Bible haijawahi badilika hata kabla ya kanisa katoliki kuanzishwa hadi leo
Havikuongezwa
Au na hesabu hujui ?