Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place


Jibu wewe.
 
Haikuchachuka ni divai alcohol 0%.
Yea Yesu hakuwa baa maid wala chapombe kunywesha watu pombe harusini
"Oinos"ni mvinyo (divai yenye kileo ndani yake) na sio "gleukos" juice tuu au divai isiyo na kileo.

Yesu aligeuza mapipa ya maji kuwa "oinos" divai yenye kileo au mvinyo au pombe na sio "gleukos" non alcoholic 0%.

Karejee lugha asili ya biblia iliotumika huko kwenye icho kitabu cha Yohane.
 
matatizo ya kukurupuka kwenye imani kama wachungaji wapya
 
Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place

Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
Vipo na dawa zilizoandikwa hivyo na unazitumi,kwa hiyo nawe una nguvu za giza?
 
Hii ni kweli japo walokole hawatakuelewa,maana wameaminishwa kuwa Yesu alitengeneza juisi ya mzabibu akati biblia yenyewe inasema alitengeneza mvinyo( wine) iliyo na kilevi. Mvinyo ndiyo iliyokuwa inatumika hata kwenye meza ya bwana na sio chemicola kama wanavyofanya walokole.
 

Waprotestanti hawana kitabu hicho kwenye biblia yao.Elewa ya kwamba biblia ya wakatoliki ina vitabu vingi kuliko hii ya waprotestanti yenye vitabu 66.
Historia ya kanisa kuna mambo yaliingizwa ktk taratibu za kanisa yakaleta ukakasi na ukinzani.Na ndio maana kuna mambo yalipingwa kabisa tangu hapo na kupelekea mgawanyiko wa kanisa.
Hivyo ndio maana vitabu fulani kwa protestanti wote havitumiki mf hiki cha Sira ulichokitaja ambacho kinachagiza watu kunywa pombe.Hakipo.Ila RC wanacho na ndio wanasimamia hapo kwenye suala la kunywa.Pia mambo ya misa za wafu na kutoa fedha ili mtu aliyekufa asamehewe dhambi.Kule protestanti hayapo.
 
Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place

Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
Na dawa za binadamu zimeandikwaje?
 
Hao wakatoliki waliokiokota huko majalalani mbona hawakitumii!!!? Acheni kuchafua madhehebu ya watu.
 
Unaandika usicho na ufahamu nacho, unaweza kututhibitishia kuwa wakatoliki wana biblia yao yenye hivyo vitabu unavyosema? Mimi ni Mkatoliki na sijawahi kuvifahamu hivyo vitabu lakini nashangaa mjinga mmoja anasema ni vya kikatoliki! Huko kwa matapeli wa kiroho huwa mnafundishwa ujinga kumbe!
 
Hao wakatoliki waliokiokota huko majalalani mbona hawakitumii!!!? Acheni kuchafua madhehebu ya watu.
Mkatoliki humu kanukuu kitabu cha Sira kuhalalisha pombe

Hivyo vitabu wakatoliki wanavitumia
 
Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place

Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
Hizi shule za siku hizi sijui huwa mnasomea nini???
 
Biblia ya katoliki ina vitabu 72.

Kaulize wakatoliki wenzio au padri wako kama hujui.
 
Thibitisha kama kweli hicho kitabu kinatumiwa na wakatoliki, punguzeni chuki nyie Kondoo. Kwa mwandiko wako huu naweza kukisia hata kiwango chako cha elimu...ungekuwa umenoa bongo usingeweza kuandika vitu usivyo na uhakika navyo. Hapa nna biblia ya kikatoliki na ni biblia ileile inayotumiwa na makanisa yote wala haijaandikwa ya wakatoliki. Huko kwa mashetani yenu mnayoyaita manabii huwa mnalishwa nini!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…