EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
VilipunguzwaWenye Biblia agano la kale ni wayahudi
Wana Biblia yao kabisa inaitwa Jewish Bible
Sababu agano la kale ni kati ya Mungu na wayahudi. kanisa lilipotaka kuchukua vitabu vya agano la kale lilichukua vitabu vya Biblia ya wayahudi wanayotumia hadi leo bila kuongeza kitabu au kupunguza
Hicho kitabu chako cha Sira wakatoliki walikiokota majalalani hakiko kwenye Biblia ya wayahudi .Wayahudi hawakitambui kwenye vitabu vyao vya agano la kale na ndio wenye agano lao sio wakatoliki waliookota jalalani hicho kitabu ume quote
Kukurahizishia nenda app store ka download Jewish Bible hicho kitabu hakimo
Na Jewish Bible haijawahi badilika hata kabla ya kanisa katoliki kuanzishwa hadi leo
Nyie ndio mnasababisha HKl isiwe deal mjini mixer kudharaulika
Wakatoliki wa wapi!!!?? Mimi ni mkatoliki niliyepitia hatua zote za kiimani (ubatizo, kamunio ya kwanza na kipaimara) na katika mafundisho yangu yote sikuwahi kukutana na hicho kitabu, niambie wewe uliyepost hicho kitabu, umekitoa kwenye biblia ipi? Na hiyo biblia ya kikatoliki ni ipi? Vichaa vyenu walokole vina mapungufu makubwa ndomana mnafanywa chochote na manabii wenu.Mkatoliki humu kanukuu kitabu cha Sira kuhalalisha pombe
Hivyo vitabu wakatoliki wanavitumia
Siyo shule, ni mafundisho ya manabii wao. Kama nabii hana shule kichwani unategenea atafundisha nini? Ujinga umetawala bongo zao.Hizi shule za siku hizi sijui huwa mnasomea nini???
Kwahiyo wanalingana!!!???Wote I am proud them
Kwakweli. Mungu awafanyie wepesiSiyo shule, ni mafundisho ya manabii wao. Kama nabii hana shule kichwani unategenea atafundisha nini? Ujinga umetawala bongo zao.
Nnachojua Kanisa Katoliki lilipunguza vitabu na si kuongeza, sasa wewe unayesema waliongeza uje hapa na ushahidi kututhibitishia.Biblia ya katoliki ina vitabu 72.
Kaulize wakatoliki wenzio au padri wako kama hujui.
Usipate shida nenda play sttore appWakatoliki wa wapi!!!?? Mimi ni mkatoliki niliyepitia hatua zote za kiimani (ubatizo, kamunio ya kwanza na kipaimara) na katika mafundisho yangu yote sikuwahi kukutana na hicho kitabu, niambie wewe uliyepost hicho kitabu, umekitoa kwenye biblia ipi? Na hiyo biblia ya kikatoliki ni ipi? Vichaa vyenu walokole vina mapungufu makubwa ndomana mnafanywa chochote na manabii wenu.
Wewe ni kenge kwenye msafara wa mamba huijui pombe na hujui hata nini maana ya nguvu za GizaWalevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place
Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
Hahahaha huyo mchungaji sasa ni LMB7Hallelujah!Tumepata mchungaji mpya!Say Aimeeeeen!
Kanisa pekee lililobaki katika misingi ya imani ya Kikristo ni Kanisa katoliki, huko hautasikia habari za kuhubiriwa mali na utajiri, huko unalishwa neno la rohoni tu. Magari, Majumba na Utajiri utavipata kwa juhudi zako. Hao walokole na manabii zao ndo kutwa kuhubiriana utajiri na fahari za Dunia!Usipate shida nenda play sttore app
Download Catholic Bible tuangalie ina vitabu vingapi ina 72 tofauti na ya wakristo.wengine wasio wakatoliki ambayo ina vitabu 66
Kama hujui kuwa kuna Biblia ya katoliki ukatoliki wako wa juu juu
Anyway padri wako unaye kamuulize kuhusu hiyo Biblia ya kikatoliki kuwa ina vitabu vingapi na akutajie
Sasa tutafanyaje mkuu na tumepatikana?Tumpokee hivyohivyo Ila umakini uwepo kwenye vitunga vya "matoleo"! HahahahaaaHahahaha huyo mchungaji sasa ni LMB7
Halikupunguza liliongezaNnachojua Kanisa Katoliki lilipunguza vitabu na si kuongeza, sasa wewe unayesema waliongeza uje hapa na ushahidi kututhibitishia
HahahahaSasa tutafanyaje mkuu na tumepatikana?Tumpokee hivyohivyo Ila umakini uwepo kwenye vitunga vya "matoleo"! Hahahahaaa
Ngoja nichekebiblia ya kikatoliki ni ipi? Vichaa vyenu walokole vina mapungufu makubwa ndomana mnafanywa chochote na manabii wenu.
Gjiiiiioooooniiii ya reeeeooooo!Na mbengo zetafongoka
🤣🤣Gjiiiiioooooniiii ya reeeeooooo!