Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place

Ata kama unatetea maandiko jitaidi kutetea kitaalam usimuaibishe Mungu.
Hiv unajua kuwa mafuta (yakula na yakupaka), vipodozi, madawa, vinywaji baridi navyo wamevi-recommend hivyo kwenye swala la storage? Hapo bado pembejeo za kilimo ( madawa ya mifugo na mazao) pia vimeandikwa hvyo kwaiyo navyo vinatumia njia za giza?
Ilipoandikwa mshike sana elimu.. haikumanisha elimu ya dini pekee.
Jifunze kukaa kimya kama kitu ukijui nyie ndio mnafanya wakristu waonekane wajinga
 
hapa ndio utaelewa kwann waislam hawataki Quran itasfiriwe kwenye lugha nyingne hii ndio faida yake.
 
Da!! Sio kwa povu hilo.Ukute kitabu ulichonacho ni misale..biblia yenu hujawahi hata kushika.Unasomewa tu vifungu jpili.
 
Usemi wako unainyesha huna sifa za ukristo.Umejaa majivuno, kiburi na dharau.Pia unaamini umesoma sana na mtu mwenye mawazo tofauti na yako ni mjinga sana.
Jitafakari dunia ni zaidi ya uijuavyo.Be humble it pays a lot
Usitukane tukan, after all ukristo unajiteteaga wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…