heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Habari wakuu wenzangu
Unakuta mtu yupo bize na smart phone kuliko malezi au kumjali mtoto, unakuta mtoto katundikiwa mziwa mama hajali kama mtoto ananyonya kupitia pua au mdomo ye ni bize na kuperuzi tu,
Jambo lililonikera ni moja tu, nimekutana na mama mmoja ni mnenee tako iloo yani shape yake nikisema nimkumbatie kwa nyuma mikono yangu haikutani kwa mbele
Amembeba mtoto wa miaka miwili kama si mmoja na nusu mgongoni yani yule mtoto hata kutambaa nahisi ndo anaanza,
Aisee katanua miguu ya yule mtoto eti a-fit ktk kiuno chake kama kambeba mtu mzima, nimeingiwa na mshtuko sana nilivyoona yule mtot alivyo tawanyishwa vile vimguu,
Ubaya zaid ni usiku halafu mtoto anabebwa mgongoni mama yupo bize na simu njiani, akawa kama kabeba begi,
Daah embu wazazi wa kike mnapobeba mtot mgongoni jaribuni kuangalia miili yenu angalauu mfunge kiubavuni
Nilitamani kumfuata nimweleze ila alikuwa mbali kidogo