Wali kuku wa kukaanga

Wali kuku wa kukaanga

toba roho yangu, hayo makuku!!!!!!!!!!!!!!!!! hivi naweza kutumia kuku wa kienyeji badala wa kizungu maana wa kizungu siku hizi hapandi kabisa. i think this week end ntajaribu. yhanks habibty
 
ngoja w.end nipike hii kitu, mate yamenitokaaa!
 
toba roho yangu, hayo makuku!!!!!!!!!!!!!!!!! hivi naweza kutumia kuku wa kienyeji badala wa kizungu maana wa kizungu siku hizi hapandi kabisa. i think this week end ntajaribu. yhanks habibty

Unaweza ila mcheshe kwanza alafu mkaande alafu supu yake ule uchanganyie wali badala ya maji itanoga zaidi
 
Asante kwa kunifungua hasa ss mabachelor bana duuh, this weekend nita mpikia wifi yako aisee then mrejesho utakuwa wa muhimu zaidi
 
Back
Top Bottom