Pesa ya kupata pressure cooker ipo kabisa mkuu, sema sikuwa na ufahamu wa hv vitu.. nitajaribu kuvifuatilia madukani ikiwezekana wiki hii nivute mzigo huo(Pressure cooker) kazi ya kupika hii kwa kweli naona tabu sana na inanipotezea time yangu
Hakuna haja ya kuweka mfuniko chini, badala yake vikichemka kabla ya kukauka apunguze moto, na mfuniko uwe tait, punguza tena moto ili uive taratibu kwa robo saa mpaka dak 20, Funua onja, kama kuna kiini subiri dak 10 mbele lazima utakuwa poa
Njoo nikuoe wewe kama unajua kupika kweli ili nami nijilambe vitam kutoka mapishi yako
Wakuu nipeni ujuzi hapa,
Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuria, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda itanisaidia kuivisha vizuri.
Kwa sasa sijaoa, mchumba wangu ni Mtumishi wa Umma anakujaga weekend tu na anapenda kupika vitu vya kukaangakaanga tu.
Rice with TimberWakuu nipeni ujuzi hapa,
Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuria, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda itanisaidia kuivisha vizuri.
Kwa sasa sijaoa, mchumba wangu ni Mtumishi wa Umma anakujaga weekend tu na anapenda kupika vitu vya kukaangakaanga tu.
karibu gheto unifundishe hiyo kienyeji siijui.Nilimuelekeza kienyeji tunafanyaje mkuu
Kwahyo huyo Mke atakuwa anafuata mtaalam wa pressure cooker au..?Unafikiri ni rahisi kupata mtu wa kumuoa kwa mtu kama wewe ambaye pressure na rice cooker umezijulia humu?
Kwamba wali hauivi na unaungua chini, sawa, halafu mchumba wako kuwa mtumishi wa umma na kwamba haujaoa. Hapo nahitaji kujua vinahusiano gani?
Yaani wali usioiva na Mchumba ambaye ni mtumishi wa umma, na wewe kuwa bado haujaoa.
chief mbna mm huwa napikia maji ya baridi siku zoteWatu wanapikia wali mpaka maji ya baridi 😁😁kwenye jiko la gesi. Ni utaalamu wa kucheza na moto tu
inaweza ikawa sahihi ila ni namna ya upikaji tu ..wali ukiwekwa nazi hata ukiweka tu juani n uive lazma uwe mtamu...Wali wa gesi hauna radha nzuri kama wa kuni na mkaa
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Leo mchana nimekula ugali wa dona uliopikwa kwenye pressure cooker.Duuh ugali unaugeuzaje ndani ya p-cooker?
Mimi natumia pressure cooker ya Von, nikiweka wali unaiva baada ya robo saa.Pesa ya kupata pressure cooker ipo kabisa mkuu, sema sikuwa na ufahamu wa hv vitu.. nitajaribu kuvifuatilia madukani ikiwezekana wiki hii nivute mzigo huo(Pressure cooker) kazi ya kupika hii kwa kweli naona tabu sana na inanipotezea time yangu
Kuna option una activate unakua unapika bila kufunika!M
Mwenyewe nataka nijue hapa,, inamaana nikiweka unga hainaga kusonga na mwiko..!!!
Hizi unaweza kupikia wa nazi?Tafuta Pressurecooker au ricecooker
Nikukumbushe tu. Utatumia gharama kubwa ili ule chakula kisicho salama kwa afia yako. . WANGA ulio kwenye wali ni sumu. Badili muelekeo, achana na hilo jiko ilo wali usikunogee sana hamia kwenye vyakula mizizi na dona. Utanishukuru uzeeni.Pesa ya kupata pressure cooker ipo kabisa mkuu, sema sikuwa na ufahamu wa hv vitu.. nitajaribu kuvifuatilia madukani ikiwezekana wiki hii nivute mzigo huo(Pressure cooker) kazi ya kupika hii kwa kweli naona tabu sana na inanipotezea time yangu
Mkuu nimekupataMimi natumia pressure cooker ya Von, nikiweka wali unaiva baada ya robo saa.
Cha msingi hakikisha unanunua kwenye duka la uhakika..ungekua arusha ningekwambia ukanunue kwa benson!
Narudia tena nunua pressure cooker walau ya Von (kama una kauwezo kidogo nunua Nutri cook) hutajuta!
Kama kwenye wali Kuna Sumu wacha iniue tu,,, naachaji kula wali MzeeBaba...Nikukumbushe tu. Utatumia gharama kubwa ili ule chakula kisicho salama kwa afia yako. . WANGA ulio kwenye wali ni sumu. Badili muelekeo, achana na hilo jiko ilo wali usikunogee sana hamia kwenye vyakula mizizi na dona. Utanishukuru uzeeni.
Kwani ww ni muhindi? Maana wahindi wanawake ndo wanatoa mahali!Kubet live mamaeee sirudiii imeondoka na hela yangu ya mahali mamaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]