Wali wa kitunguu

Naam huo huo, hahaha kama ukiona tu kitunguu appetite inakata je ukiona hiliki kwenye wali utakula kweli?

Subiri nikupe mualiko wa chakula cha wali wa vitunguu chagua mboga uipendayo tu, hiyo dhana itaisha mbona.
Hakuna kiungo nakipenda kama hiliki,lol....Usifananishe kitunguu na hiliki......Wali ukiwa na hiliki& karafuu unanivutia sana.
Mboga nipe yoyote kasoro nyanyachungu na biringanya.Sipendi tunguja.
 
Hakuna kiungo nakipenda kama hiliki,lol....Usifananishe kitunguu na hiliki......Wali ukiwa na hiliki& karafuu unanivutia sana.
Mboga nipe yoyote kasoro nyanyachungu na biringanya.Sipendi tunguja.
Hapo sasa tunaendana, hiliki naipenda mnooo, chai ikiwekwa hiliki tu nitakunywa hata vikombe vitatu....

Nyanya chungu nimeanza kuzila miaka ya hivi karibuni (sijazipenda sanaa), bado na struggle kwenye biringanya,
 
Tumeendana vingi kumbe...Sasa inabidi unionjeshe wali wako wa vitunguu pengine utanishawishi🤣🤣🤣🤣
 
Huo wali nilishaula ni mtamu balaa dada wa kazi alikuja na mapishi hayo toka kwao ndo niliona mara ya kwanza kitunguu kinawekwa kwenye wali
 
Mimi kila nikipika lazima Niweke kitunguu.
Wali unanukia huo,ukianza kuula unakuwa mtamu balaa.
Mama wee siku moja nilienda ugenini Mimi Huyo nikajitia kupika [emoji3],kumbe hata hawawekagi vitunguu...nikamsikia mtu mmoja anasema huu wali mbona unanuka hivi,Nani amepika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe kama Mimi.
Vitunguu vikishika tu mafuta,natia mchele.
Sasa unavyonukia unanipa Raha[emoji847]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we nae ulitoa mpya, unapeleka mapishi yako kwa watu. Mimi nikiwa ugenini naomba ruhusa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jioni ndio ninakuwa na nafasi bachelor mimi,lazima niijaribu hii...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we nae ulitoa mpya, unapeleka mapishi yako kwa watu. Mimi nikiwa ugenini naomba ruhusa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa napika tu,nilienda kwa dada.
Mara nyingi wanapendelea ugali..sasa i
siku hiyo ya wali mimi Huyo kukaa jikoni kawaida yangu[emoji23][emoji23][emoji23].
Yaani tangu siku hiyo sijawahi kanyaga tena jikoni hata kusipokuwa na wa kupika.
 
Duh itabidi unipikie wali wangu tena! Huo wako utaendelea kula kwa raha zako!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu hawapendi kabisa vitunguu.

Mimi Raha ya chakula nione kitunguu,hata Kwenye mboga huwa naweka vitunguu vya kutosha..yaani hapo nitakula hadi Basi.
 
Nilienda India na mgonjwa.
Hotel za kule kabla msosi haujaja unaletewa bakuli la vitunguu vibichi mtafune.
Ni kama starter wakati wa kusubiri main meal.
Kwahiyo mnakuwa na Handkercief pembeni kwaajili ya kufuta machozi na vijikamasi kidogo kwa mbaali,huku mkisubiria msosi...?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu hawapendi kabisa vitunguu.

Mimi Raha ya chakula nione kitunguu,hata Kwenye mboga huwa naweka vitunguu vya kutosha..yaani hapo nitakula hadi Basi.
Wewe ukifungua mgahawa sidhani kama utaona sura yangu hapo ofisini kwako 🤣 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…