Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kiungo nakipenda kama hiliki,lol....Usifananishe kitunguu na hiliki......Wali ukiwa na hiliki& karafuu unanivutia sana.Naam huo huo, hahaha kama ukiona tu kitunguu appetite inakata je ukiona hiliki kwenye wali utakula kweli?
Subiri nikupe mualiko wa chakula cha wali wa vitunguu chagua mboga uipendayo tu, hiyo dhana itaisha mbona.
Hapo sasa tunaendana, hiliki naipenda mnooo, chai ikiwekwa hiliki tu nitakunywa hata vikombe vitatu....Hakuna kiungo nakipenda kama hiliki,lol....Usifananishe kitunguu na hiliki......Wali ukiwa na hiliki& karafuu unanivutia sana.
Mboga nipe yoyote kasoro nyanyachungu na biringanya.Sipendi tunguja.
Tumeendana vingi kumbe...Sasa inabidi unionjeshe wali wako wa vitunguu pengine utanishawishi🤣🤣🤣🤣Hapo sasa tunaendana, hiliki naipenda mnooo, chai ikiwekwa hiliki tu nitakunywa hata vikombe vitatu....
Nyanya chungu nimeanza kuzila miaka ya hivi karibuni (sijazipenda sanaa), bado na struggle kwenye biringanya,
Lazima ushawishike,Tumeendana vingi kumbe...Sasa inabidi unionjeshe wali wako wa vitunguu pengine utanishawishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo wali nilishaula ni mtamu balaa dada wa kazi alikuja na mapishi hayo toka kwao ndo niliona mara ya kwanza kitunguu kinawekwa kwenye waliHello guys,
Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta wanapika wali wa kitunguu kwa kweli niliupenda. Pengine wengine mnajua ila nina uhakika wapo ambao hawafahamu. Twende pamoja.
1. Andaa kitunguu maji katakata vipande vya kawaida.
2. Tia mafuta kwenye sufuria unayotaka kupikia wali (hakikisha umeandaa maji ya moto pembeni).
3. Tia vitunguu kwenye mafuta yaliyochemka, kaanga mpaka viungue (sio viive, vinatakiwa viungue).
4. Tia mchele, geuza hadi vitunguu vichanganyike na vitunguu (mchele ubadilike rangi). Baada ya hapo tia maji na endelea na hatua zingine kama kawaida.
Wali unakuwa na ladha fulani hivi ya kuvutia, mimi niliupenda najua na wewe utaupenda
Mate mpishi nitakuwa mie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ahsante mpishi .
Mimi kila nikipika lazima Niweke kitunguu.Hello guys,
Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta wanapika wali wa kitunguu kwa kweli niliupenda. Pengine wengine mnajua ila nina uhakika wapo ambao hawafahamu. Twende pamoja.
1. Andaa kitunguu maji katakata vipande vya kawaida.
2. Tia mafuta kwenye sufuria unayotaka kupikia wali (hakikisha umeandaa maji ya moto pembeni).
3. Tia vitunguu kwenye mafuta yaliyochemka, kaanga mpaka viungue (sio viive, vinatakiwa viungue).
4. Tia mchele, geuza hadi vitunguu vichanganyike na vitunguu (mchele ubadilike rangi). Baada ya hapo tia maji na endelea na hatua zingine kama kawaida.
Wali unakuwa na ladha fulani hivi ya kuvutia, mimi niliupenda najua na wewe utaupenda
Ukipika tena pilau naomba unipe mualiko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mate kufikia hatua ya kupika wali wa vitunguu wewe tayari ni mpishi.
Wewe kama Mimi.Ukiunguza vitunguu kidogo lazima ubadilike rangi unaelekea kufanya pishi la pilau, mimi huwa napika hivi nikiweka vitunguu kwenye mafuta naweka na mchele hapo hapo,vitunguu havibadiliki rangi hivyo wali una kuwa mweupe vile vile wenye vitunguu vinavyoonekana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we nae ulitoa mpya, unapeleka mapishi yako kwa watu. Mimi nikiwa ugenini naomba ruhusa kwanzaMimi kila nikipika lazima Niweke kitunguu.
Wali unanukia huo,ukianza kuula unakuwa mtamu balaa.
Mama wee siku moja nilienda ugenini Mimi Huyo nikajitia kupika [emoji3],kumbe hata hawawekagi vitunguu...nikamsikia mtu mmoja anasema huu wali mbona unanuka hivi,Nani amepika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jioni ndio ninakuwa na nafasi bachelor mimi,lazima niijaribu hii...Hello guys,
Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta wanapika wali wa kitunguu kwa kweli niliupenda. Pengine wengine mnajua ila nina uhakika wapo ambao hawafahamu. Twende pamoja.
1. Andaa kitunguu maji katakata vipande vya kawaida.
2. Tia mafuta kwenye sufuria unayotaka kupikia wali (hakikisha umeandaa maji ya moto pembeni).
3. Tia vitunguu kwenye mafuta yaliyochemka, kaanga mpaka viungue (sio viive, vinatakiwa viungue).
4. Tia mchele, geuza hadi vitunguu vichanganyike na vitunguu (mchele ubadilike rangi). Baada ya hapo tia maji na endelea na hatua zingine kama kawaida.
Wali unakuwa na ladha fulani hivi ya kuvutia, mimi niliupenda najua na wewe utaupenda
Mimi huwa napika tu,nilienda kwa dada.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we nae ulitoa mpya, unapeleka mapishi yako kwa watu. Mimi nikiwa ugenini naomba ruhusa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh itabidi unipikie wali wangu tena! Huo wako utaendelea kula kwa raha zako!!Wewe kama Mimi.
Vitunguu vikishika tu mafuta,natia mchele.
Sasa unavyonukia unanipa Raha[emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh itabidi unipikie wali wangu tena! Huo wako utaendelea kula kwa raha zako!!
Kwahiyo mnakuwa na Handkercief pembeni kwaajili ya kufuta machozi na vijikamasi kidogo kwa mbaali,huku mkisubiria msosi...?Nilienda India na mgonjwa.
Hotel za kule kabla msosi haujaja unaletewa bakuli la vitunguu vibichi mtafune.
Ni kama starter wakati wa kusubiri main meal.
Ewaaa...ulete na kapichaJioni ndio ninakuwa na nafasi bachelor mimi,lazima niijaribu hii...
Mimi pia hapana kwa kweli, vione vitunguu vyeupe kwenye wali tenaDuh itabidi unipikie wali wangu tena! Huo wako utaendelea kula kwa raha zako!!
Wewe ukifungua mgahawa sidhani kama utaona sura yangu hapo ofisini kwako 🤣 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu hawapendi kabisa vitunguu.
Mimi Raha ya chakula nione kitunguu,hata Kwenye mboga huwa naweka vitunguu vya kutosha..yaani hapo nitakula hadi Basi.