The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Ukiwaamini CCM utakua na shida. Hawa watu ni mashetaniGT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya serikali katili,Tusubiri labda hizo siku 86 zilizobaki watakuwa na jipya.
nyinyi nimajambazitu mnaandanana alafu mnatuibiaGT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya serikali katili,Tusubiri labda hizo siku 86 zilizobaki watakuwa na jipya.
njooni tena muibe safarihii ni zakichwa tu mnatumia kivuli cha maandamano kufanya ujambaziGT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya serikali katili,Tusubiri labda hizo siku 86 zilizobaki watakuwa na jipya.
Wameua watu ,wameteka na kuendelea kuteka sasa hayo walioyoyaahidi wanaenda kumtimiza nani? Haki ya kwanza kuliko zote ni haki ya kuishi.. kama haki ya kuishi wanaipoka hizo ahadi za nini?GT
Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki.
Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya serikali katili,Tusubiri labda hizo siku 86 zilizobaki watakuwa na jipya.
Brother pumzika sasa, naona umechoka sana. Tangu asubuhi nakuona unatukana.njooni tena muibe safarihii ni zakichwa tu mnatumia kivuli cha maandamano kufanya ujambazi
kweli maCCM ni KUKUMaccm usiyaamini, yameshachukua madaraka sasa yapo busy kuimba maridhiano, yamekuwa maroho na malaku ya madaraka, yamepata yanachotaka sasa yanaanza kuomba maridhiano, majinga sana haya.
Unaridhiana vipi na wauaji?
Nachoka sana mimi kijakazi wa Clemence Mwandambo.
Watanganyika wanamuonea wivu Samia, mama yetu kipenzi anayeupiga mwingi usiku kucha na mchana kutwa.
Mtalaaniwa nyie.
Cc: Lucas Mwashambwa UCD
Ukiibiwa na wewe toka ukaibe kama unaona ni rahisi.nyinyi nimajambazitu mnaandanana alafu mnatuibia
Tuendelee kumsaidia mama yetu samia katika kuupiga mwingi.