Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

Kuna kufeli na kufelishwa. Kwa taasisi kubwa kama hiyo inayoshika hatima ya maisha ya mtu human errors lazima ziepukwe.

Tume ilithibitisha makosa ya kibinadamu. Ndalichako alistahili kuondoka.
Huyo utabishana nae tu kwa vile wale ile kitu ya kujipata ila tangu uhuru hao wanafaulu mpaka wanakuwa maprofessor hamna jipya...Anataka kuleta mjadala hapa ila siri zinajulikana kuanza kuchuja wanafunzi tena wako radhi wafanye mtihani wachache wale wanaofeli wanawafukuza.
 
Necta wanatumia namba majina wanakuja kuweka mwishoni
 
Kislamu Kitakuwa Kigumu Sana.

Nakumbuka Kipindi Namaliza Tulikuwa Na Bible Knowledge Aisee Ilikuwa Kiboko Sana.

Hadi Kukawa Na Msemo Wa Kutoboa Bible Knowledge Ya NECTA Ni Mbinde.
 
Duuh mzee kachagua shule za kata zilizoko Unguja na Pemba ndio anakuja kuwananga waislamu wote wa Tanzania.
Kwa muhtasari tu, improvement ni kubwa sana kwenye baraza la mitihani.Tayari kuna muonekano wa tafauti kwenye matokeo.Nakuwekea screen shot za matokeo ya shule za kiislamu huko huko Zanzibar ambazo watoto wake ni wajibu kwao kusoma na kuhifadhi juzuu 30 na bado wanafanya vizuri tu.
Alaa,Kumbe inawezekana kusoma Quran na masomo mengine bila kuathiri perfomance ya mwanafunzi.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…