kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
wanaosahisha mitihani ya islamic ni watu wenye chuki sana na hii ni ajenda ya kulitoa hilo somo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye mitihani wanatumia namba kuanzia secondary mpaka chuo kikuuKwani imeanza leo 😅...Maana najua watu wakubwa ,watu maarufa haswa wanamichezo ,fani kibao wanatokea upande gani ..Ndio wamshika nchi.
Hapo sasaDuh aiseee. Jk akaenda zake seminari na watoto kasomesha huko pia
Makosa yalikua yanahusiana na dini?Kuna kufeli na kufelishwa. Kwa taasisi kubwa kama hiyo inayoshika hatima ya maisha ya mtu human errors lazima ziepukwe.
Tume ilithibitisha makosa ya kibinadamu. Ndalichako alistahili kuondoka.
Aise acheni kufundisha watoto dini za magaidi, wanafeli kwasababu mnawalazimisha na hawapendi.Umepost ujinga
Seminari ipi aliyopeleka watoto wake?Duh aiseee. Jk akaenda zake seminari na watoto kasomesha huko pia
Kula chuma hicho padri johnAise acheni kufundisha watoto dini za magaidi, wanafeli kwasababu mnawalazimisha na hawapendi.
Hivi hao wanaosoma shule nzuri aka wagalatia wamelisaidia nini hili taifa?Kuna Yule mzee wa humu huwa tunamwambia wapeleke watoto shule nzuri, vyuo vizuri.
Yeye kila siku kampeni zake "tulionewa", "tumeonewa", "tunaonewa" na 'tutaonewa".
watu wanapopeleka watoto wao shule na vyuo vizuri huwa wanajielewa.
hawanaga habari za kimaskini na hadithi alfu lela ulela.
Hizi Madrasa watoto waende mara moja Kwa wiki tena iwe jumamosi au jumapili, kuna mchango mkubwa Sana wa Madrasa na matokeo haya.Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile.
Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
View attachment 2883506View attachment 2883509
Seminari ipi aliyopeleka watoto wake?
Umepost ujinga
Mwanaasha kasoma feza girls ambayo ni seminari ya kiislam sio sawa na alizosoma baba yakeGoogle aliyosoma mwanaasha utafahamu mkuu
Nyie wenye matokeo mazuri mmetuzalishia mafisadi tu, li nchi limekwama kwasababu ya wasomi wa kigalatiaHizi Madrasa watoto waende mara moja Kwa wiki tena iwe jumamosi au jumapili, kuna mchango mkubwa Sana wa Madrasa na matokeo haya.
Mboni kama hoja yako inakuwa illogical broo?wanaosahisha mitihani ya islamic ni watu wenye chuki sana na hii ni ajenda ya kulitoa hilo somo
Hahah nakumbuka mwanaashaa alizungushaga kipindi kileGoogle aliyosoma mwanaasha utafahamu mkuu
Mwanaasha kasoma feza girls ambayo ni seminari ya kiislam sio sawa na alizosoma baba yake
Upendeleo upo kweny namba au somo ,kwani shule hazijulikani na code za somo.Kwenye mitihani wanatumia namba kuanzia secondary mpaka chuo kikuu
Kama kuna matumiz ya namba huo upendeleo unatoka wapi