Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

Kuna Yule mzee wa humu huwa tunamwambia wapeleke watoto shule nzuri, vyuo vizuri.

Yeye kila siku kampeni zake "tulionewa", "tumeonewa", "tunaonewa" na 'tutaonewa".

watu wanapopeleka watoto wao shule na vyuo vizuri huwa wanajielewa.

hawanaga habari za kimaskini na hadithi alfu lela ulela.
 
Kuna kufeli na kufelishwa. Kwa taasisi kubwa kama hiyo inayoshika hatima ya maisha ya mtu human errors lazima ziepukwe.

Tume ilithibitisha makosa ya kibinadamu. Ndalichako alistahili kuondoka.
Makosa yalikua yanahusiana na dini?
 
Hivi hao wanaosoma shule nzuri aka wagalatia wamelisaidia nini hili taifa?
 
Hizi Madrasa watoto waende mara moja Kwa wiki tena iwe jumamosi au jumapili, kuna mchango mkubwa Sana wa Madrasa na matokeo haya.
 
Hizi Madrasa watoto waende mara moja Kwa wiki tena iwe jumamosi au jumapili, kuna mchango mkubwa Sana wa Madrasa na matokeo haya.
Nyie wenye matokeo mazuri mmetuzalishia mafisadi tu, li nchi limekwama kwasababu ya wasomi wa kigalatia
 
Ukiweza kutokua mdini jua umestaarabika sana..dini ya mtu yeyote kwako sawa tu hata abuudu mawe au wanyama atajua yeye wewe fanya mambo yako sijui aende akanywe kikombe kwa Babu wewe endelea tu na mambo zako ..
 
wanaosahisha mitihani ya islamic ni watu wenye chuki sana na hii ni ajenda ya kulitoa hilo somo
Mboni kama hoja yako inakuwa illogical broo?

Kwamba mwalimu Mkristo anaenda kusahihisha mtihani wa Kiislam?yeye anajuaje kama jibu fulani ni sahihi au siyo sahihi?unajua kwa hoja kama hizi hadi mtu anaweza kuwa na shaka na uwezo wako wa kuchanganua mambo?
 
Kwenye mitihani wanatumia namba kuanzia secondary mpaka chuo kikuu
Kama kuna matumiz ya namba huo upendeleo unatoka wapi
Upendeleo upo kweny namba au somo ,kwani shule hazijulikani na code za somo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…