Mimi naamini Usimba na Uyanga wa huko Libya ndio umetengeneza hayo maneno.
Al Ittihad Tripoli vs Al Ahly Tripoli.
1)Biashara ilisafiri kwenda Djibouti kwa kuchechemea, Djibouti ni karibu ikasafiri siku ya mechi.
2)Ittihad Tripoli walisafiri kwa "ndege ya raisi" kwenda Zanzibar clabu bingwa dhidi ya KMKM Baada ya kuteseka kupata vibali vya kuruka angani.
3)Alifika siku ya mechi Jumamosi,akaomba mechi owe Jpili,akakubaliwa ikachezwa Jpili.
4)Biashara anaenda Libya vs mpinzani wa Ittihad aitwaye Al Ahly Tripoli ,naye Biashara kapata matatizo ya kusafiri. Leo useme Biashara kahongwa asisafiri. Nitakuwa wa mwisho kuamini.