Walibya wadai Biashara Utd walihongwa ili wasisafiri

Nikuhakikishie tu kwamba wewe ni wa ovyo tu na Mods wasipokuchukulia hatua kwa upuuzi wako baada ya Simba kufungwa tutawashangaa. Kazi imekuwa kuzusha tu mara hili mara lile utafikiri unachangia chochote kwenye soka.
 
Nikuhakikishie tu kwamba wewe ni wa ovyo tu na Mods wasipokuchukulia hatua kwa upuuzi wako baada ya Simba kufungwa tutawashangaa. Kazi imekuwa kuzusha tu mara hili mara lile utafikiri unachangia chochote kwenye soka.
Kunywa.maji upumzike chanzo ni nuhu adams mghana shida imepostiwa in english na wewe ni ngumbaru
 
Zinaongelewa libya na nani?.kwani uko libya unadhani hakuna watu wenye mawazo mafupi kama uku bongo.wewe mwenyewe inaonekana unaamini sana porojo.Mechi huwa hainunuliwi kijinga hivyo.sidhani kama hao walibya wenye timu ni wajinga kiasi hicho.Kilichotokea ni uzembe wetu kama watanzania kupitia viongozi wa biashara,chama cha soka mkoa wa mara,Tff pamoja na wizara ya michezo.Kila mmoja angefwatilia hili swala biashara isingeshindwa kwenda libya ila kwasababu haikwenda kwasababu za uzembe kila mjinga anaweza kuongea lake.
 
Hakuna kitu Kama hicho hata ukiangalia bado maamuzi ya mechi hayajatolewa, ndio maana katika kupanga ratiba biashara na timu ya Libya wamewekwa pamoja yaani mahindi Kati yao.
Caf pia wanaleta ugumu, nchi ipo kwenye Vita halafu unalazimisha timu ziende
 
hao wapumbavu hata makundi hawatayaona enyimba itawapasua vipandeviapnde ,nawaonea huruma wachezaji wazuri walionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…