Walichokifanya leo Wana Simba wameonesha ukomavu , uelewa na busara kubwa , wanahitaji pongezi .

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,530
Reaction score
3,422
Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ?

Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa ulitegemea mashabiki wa Simba wakafanye nini wakati makosa ya Simba yameshabebwa na bodi ya ligi na TFF? bodi ya ligi na TFF imeibeba Simba kwa migongo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…