Baba mtumishi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 550
- 476
Mashabiki wa Simba waende wafuate nini wakati uhairishwaji wa mechi ulisha wkidhi matakwa yao?Kama isingehairishwa na wakanyang'anywa pointi na kushushwa daraja wasingeenda pale?Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ?
Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
View attachment 3285059
View attachment 3285060
View attachment 3285061