Baba mtumishi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 550
- 476
Mashabiki wa Simba waende wafuate nini wakati uhairishwaji wa mechi ulisha wkidhi matakwa yao?Kama isingehairishwa na wakanyang'anywa pointi na kushushwa daraja wasingeenda pale?Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ?
Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
View attachment 3285059
View attachment 3285060
View attachment 3285061
Wazururaji utawajua tu, Washabiki wa Yanga ni jamii ya watu wa hovyo kabisaJe umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ?
Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
View attachment 3285059
View attachment 3285060
View attachment 3285061
Ukiona team na mashabiki wake wana kauli mbiu, (yanga oyeee au simba oyeeee) basi hapo jaribu kutafakali.Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ?
Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
View attachment 3285059
View attachment 3285060
View attachment 3285061
Acha ujinga , waliosafiri ni Yanga peke yaoJiongeze basi sio kuropoka,watu wametoka Mbeya wamekuja kwenye match then match ikaharishwa saa8 unataka kusema walitoka Mbagala au Chang'ombe?
Hamnazo ziko kwa mashabiki wa Simba."Ukiwa shabiki wa Yanga kuna namna kama unakuwa hamnazo hivi" - Haji Manara
Mngekuwa na akili mngekimbia kucheza Mpira?Huko wawili tu ndio wana akili
Hii ni siasa tu wameamua kuingiza kwenye michezo. Unaweza kukuta kuna mtu hapo ana nia ya kumharibia mwenzake kisiasa akaona atumie hizo timu mbili.Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ?
Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
View attachment 3285059
View attachment 3285060
View attachment 3285061
Nani alikimbia ?Mngekuwa na akili mngekimbia kucheza Mpira?
Mbumbumbu FC.Nani alikimbia ?