Walichokifanya Madee na Babu Tale ni chukizo mbele ya Allah. Sijapendezwa nalo

Walichokifanya Madee na Babu Tale ni chukizo mbele ya Allah. Sijapendezwa nalo

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Ipo wazi aliyewahi kuwa msanii wa bongo fleva ,Sumalee au wengi wamezoea kumuita Suma Hakunaga aliamua kuachana na mambo ya muziki na kumtumikia Mungu kikamilifu yapata miaka 15 sasa.

Na uzuri jamaa hakutaka mbwe mbwe za kujitangaza ikiwemo kuutangazia uma kupitia social media bali tu life style yake ilitosha kueleza.

Baada ya hapo Suma akawa mstali wa mbele kukataa maovu ikiwemo masuala ya muziki badala yake akawa mstari wa mbele kumtukuza Allah na shughuli zake kwa asilimia kubwa ni za kumuhusu Mwenyezi Mungu S.W.T .

Sasa turudi kwenye mada. Madee na babutale wana hili tamasha lao la miaka 30 ya bongo fleva , wanatumia nguvu kubwa sana kumshawishi na kumrubuni Sumalee naye awe miongoni mwa wasanii watakaoimba kwenye hili tamasha .

Alianza Madee kumbembeleza sana Sumalee na kumuwekea dau nono ili tu amshawishi Sumalee ashiriki kwenye huo ushetani wao lakini akagonga mwamba akija huyu mzee babutale tena mbaya zaidi naye dini anaijua vizuri tu naye akampandia dau mara dufu amshawishi Sumalee ashiriki kwenye dhambi zao.

Hili suala wengi wamekwazika nalo na wamewachana waziwazi babu tale na huyo madee waache mambo ya kipuuzi . Kumtoa mtu kwenye nuru kisha kumleta gizani kwa sababu ya fedha ni laana kubwa sana.

Na hata hivyo mwisho wa siku wataishia tu kumdhihaki na kumcheka baada ya kumtumia.

Uzuri Sumalee hakuwajibu vibaya japo wamemkosea sana .

Screenshot_20260831_090959_Instagram Lite.jpg
 
siku zote fala yoyote ambae dini imememfanya mtumwa unakuta anachukulia na kupima kila kitu kwa misingi ya dini yake

Dini iliokuja kwa njia ubakaji, umwagaji wa damu na utumwa ndjo hio hio unaataka uilinganishe na morality na ustaarabu.

Akili taka taka kabisa
 
Back
Top Bottom