Walichokifanya Madee na Babu Tale ni chukizo mbele ya Allah. Sijapendezwa nalo

Walichokifanya Madee na Babu Tale ni chukizo mbele ya Allah. Sijapendezwa nalo

Sidhani kama kuna gap kubwa sana Sumalee asipokuwepo kwenye hilo tamasha na pia sioni kama kuna sababu kubwa sana kwa sumalee kupindisha imani yake kwa sababu ya siku moja au mbili za stage.

Kwa hiyo ni sawa tu
 
Sumalee hana kiburi bali ana misimamo ya dini.
Ni kweli anaweza kuwa na msimamo.

Nimemaanisha kiburi cha kukataa fedha nyepesi. Kama ilivo Mwakinyo naye ni wa Tanga.

Ni manispaa yenye watu waliochangamka kifedha kwahiyo ni rahisi wao kuishi bila dhiki ndogo ndogo. Kule dili za pesa nje nje na hakuna ushindani wa mastaa kama DSM au Dom.

NB:Ni mawazo yangu tu.
 
Suma lee ni mpuuzi, anaachaje dau nono kama hilo kisa allah asiyefahamika? Yeye ni mbongo fleva wenzake wanamtaka kwenye tamasha lao aende tu akapate mpunga, mi mwenyewe ni sabiki wake namtaka akashiriki tamasha hilo na aimbe wimbo wako uliompandisha chati, hakunaga
 
Ndio, Wakatoliki.
Mkuu unajisumbua tu. Huyu jamaa mada zake huwa ni za kichoko. Huwa sielewi mwanaume mzima anapata wapi muda wa ku screenshot comments mitandao mingine na kuleta watu wazijadili tena. Ni dalili ya kuwashwa na mambo yasiyokuhusu.
 
Hao waandaaji wa hilo tamasha wanahangaika nini na wasanii walioachana na muziki huo? Hata kama walikiki sana hakuna haja ya kuwataka waje wapofomu kama hawataki. Watapafomu walio tayari
 
Sidhani kama kuna gap kubwa sana Sumalee asipokuwepo kwenye hilo tamasha na pia sioni kama kuna sababu kubwa sana kwa sumalee kupindisha imani yake kwa sababu ya siku moja au mbili za stage.

Kwa hiyo ni sawa tu
Huyo ni Sheikh mkubwa ana aminiwa na ma elfu ya waumini ya dini ya kiislamu, sasa unataka akavunje imani ya watu juu yake iliyodumu kwa miaka mingi kwa dakika kumi ?
 
Ni kweli anaweza kuwa na msimamo.

Nimemaanisha kiburi cha kukataa fedha nyepesi. Kama ilivo Mwakinyo naye ni wa Tanga.

Ni manispaa yenye watu waliochangamka kifedha kwahiyo ni rahisi wao kuishi bila dhiki ndogo ndogo. Kule dili za pesa nje nje na hakuna ushindani wa mastaa kama DSM au Dom.

NB:Ni mawazo yangu tu.
Sawa
 
Back
Top Bottom