Walichokifanya Madee na Babu Tale ni chukizo mbele ya Allah. Sijapendezwa nalo

Walichokifanya Madee na Babu Tale ni chukizo mbele ya Allah. Sijapendezwa nalo

Suma lee ni mpuuzi, anaachaje dau nono kama hilo kisa allah asiyefahamika? Yeye ni mbongo fleva wenzake wanamtaka kwenye tamasha lao aende tu akapate mpunga, mi mwenyewe ni sabiki wake namtaka akashiriki tamasha hilo na aimbe wimbo wako uliompandisha chati, hakunaga
Ficha upumbavu wako.
 
Binafsi nilichukizwa sana na hili jambo. Wapuuzi sana wale jamaa, mtu kashachagua njia yake nzuri mnaenda kumtia ushetani. Mashekhe wa Tanga ingilieni kati hili jambo na mlaani hadharani
 
Kutunzwa na madon ni fedhea siyo sifa njema hasa kwa mwanaume. Sisemi sense kwenye mziki alioukataa.
Sijasifia kaka.
Ila ni moja ya hulka ya vijana wa Tanga kulelewa.
Mikoa ya pwani utakutana na mtu kukesha kwenye kahawa au bila shughuli na usishangae kuona wana maisha mazuri.(nadhani utakuwa umeshihudia)
Nadhani ni utofauti wa tamaduni.
 
UNATUNZWA KWA FEDHA ZA MWANAUME MWENZAKO HALAFU UWE NA KIBURI
WEWE UNAONA NI SAWA ?
Sijasifia kaka.
Ila ni moja ya hulka ya vijana wa Tanga kulelewa.
Mikoa ya pwani utakutana na mtu kukesha kwenye kahawa au bila shughuli na usishangae kuona wana maisha mazuri.(nadhani utakuwa umeshihudia)
Nadhani ni utofauti wa tamaduni.
 
siku zote fala yoyote ambae dini imememfanya mtumwa unakuta anachukulia na kupima kila kitu kwa misingi ya dini yake

Dini iliokuja kwa njia ubakaji, umwagaji wa damu na utumwa ndjo hio hio unaataka uilinganishe na morality na ustaarabu.

Akili taka taka kabisa
Rejea vitabu haikuja hivyo
 
Back
Top Bottom