Walichokifanya Madee na Babu Tale ni chukizo mbele ya Allah. Sijapendezwa nalo

Ficha upumbavu wako.
 
Binafsi nilichukizwa sana na hili jambo. Wapuuzi sana wale jamaa, mtu kashachagua njia yake nzuri mnaenda kumtia ushetani. Mashekhe wa Tanga ingilieni kati hili jambo na mlaani hadharani
 
Kutunzwa na madon ni fedhea siyo sifa njema hasa kwa mwanaume. Sisemi sense kwenye mziki alioukataa.
Sijasifia kaka.
Ila ni moja ya hulka ya vijana wa Tanga kulelewa.
Mikoa ya pwani utakutana na mtu kukesha kwenye kahawa au bila shughuli na usishangae kuona wana maisha mazuri.(nadhani utakuwa umeshihudia)
Nadhani ni utofauti wa tamaduni.
 
UNATUNZWA KWA FEDHA ZA MWANAUME MWENZAKO HALAFU UWE NA KIBURI
WEWE UNAONA NI SAWA ?
Sijasifia kaka.
Ila ni moja ya hulka ya vijana wa Tanga kulelewa.
Mikoa ya pwani utakutana na mtu kukesha kwenye kahawa au bila shughuli na usishangae kuona wana maisha mazuri.(nadhani utakuwa umeshihudia)
Nadhani ni utofauti wa tamaduni.
 
Rejea vitabu haikuja hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…