Kama anasubili kutunzwa na madoni wa tanga ndo ale ni bora tu akarudi kwenye mziki akatafuta riziki yake haraliSuma lee hawezi kufa njaa.
Madon wa Tanga watamtunza sana.
Ndiyo maana nadhani anakiburi.
Wanamtunza kivipi? Wanampa pesa?Suma lee hawezi kufa njaa.
Madon wa Tanga watamtunza sana.
Ndiyo maana nadhani anakiburi.
Kwa hiyo kuvuta bangi sio dhambi?Mzee wa chai mziki siyo dhambi
Dhambi zipo na zinajulikana
Usiue
Usizini
Usiibi
Usiseme uongo
Usitaman mali ya mtu mwingine
Usitaman asiye mkeo
Usiabidu miungu nk
Chunga akili za mababu wa kiarabu zisiche zikaharibu akili yako