Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ukiijulia chemichemi unajenga kisima na kupump maji juu, hutaingia gharama za maji ya Dawasa. Inabidi ujue mwanzo na uipange ramani yako.Kama huna pesa,achana na chemchemu za maji! Kule Kunduchi mtongani, karibu na kanisa la KKKT Mtongani,kwa juu upande wa kulia,ukiwa unaangalia kusini! Waliojenga maeneo yale,hua wanapata shida sana,unaweza kua umekaa sebuleni,unashangaa maji yanatiririka!