Walichomfanyia jamaa yangu. Anatokwa na machozi kila anapokumbuka

Ukiijulia chemichemi unajenga kisima na kupump maji juu, hutaingia gharama za maji ya Dawasa. Inabidi ujue mwanzo na uipange ramani yako.
 
Kitaalam plamber ni mtu mwingine na fundi kujenga ni mwingine sasa hapo ilikuaje fundi huyo huyo mmoja afanye yote hayo huyo jamaa pia hajasoma km ni hvyo
 
Kuna uwezekano&@#@,

Pia kuna kusikowezekana
 
Huyo jamaa pesa zake njaa tu. Watu wenye pesa hawana tabia hizo.
 
Viwanja vimekuwa Adimu kiasi hicho mpaka mtu anajenga kwenye Majaruba??🀣🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Mimi huwa sipendi kuona watu wenye wanaonyanyasa masikini, unakuta mwanamke kisa ana ajira kamuajiri hosuegal basi anamtesa yule binti unakuta binti hana raha anaona dunia imejaa manyanyaso inamfika hasiraa anakuja kufanya mambo ya kujutia anaua hata mtoto wa boss wake ukiafuatilia kisa unakuta ameshapitia manyanyaso sana, ogopa sana mtu anaenyanyasa masikini au watu wenye vipato vidogo huyo sio binadamu wa kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kawaida sana...boss mjuaji au mwenye dharau unamkomoa tu...tena wamempendelea sana...
 
Mtu anayeyanysasa maskini naye ni Maskini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…