Walichopata madaktari baada ya mgomo

Safi sana serikali ya KE huu ni usikivu unaopaswa kuigwa.

Lakini nna shaka huu uamuzi wa ghafla umetoka kwa mlengo wa maslahi fulani ya kisiasa na hasa ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi.
Usikivu watu wameteseka miezi mitatu
 

If that is low then despising someone because of language is lower.

Tz'ian are not quick to point out someone's nationality, that trophy goes to you.

Us being third largest comes as no surprise this isn't the first Tanzanian soldiers were deployed in other countries for p.k mission.

Trolling Kenyans juu ya terror ni low? Go ask miss Kenya if plagiarism is higher
 
Hongereni wa Kenya. Mwisho wa siku hakuna aliyetolewa kucha. Kila la heri mnaposogea hatua kwenye uchumi wa kati.

Watanzania tujifunze. Nchi haiwezi kuendelea kama wanaoneemeka ni wanasiasa tu.
Hawajatolewa kucha lakini wengi wamezikwa...... kuna wengine wamezika wake zao, watoto zao, wajawazito wao, waume zao, bibi zao, babu zao... orodha ni ndefu.
Pia kuna madawa mengi ambayo yaliandikwa best before march 2017 na sasa hayafai kutumika
Nani atafidia hasara hiyo??

Au ni kama kawaida yetu ya kushindwa ku establish course and effect relationship...... then living in post hoc fallacy
 
Kwa ng'ombe wa nyumbani kwetu huyu watapata vilema na wengine kupotea vile alivyo na roho mbaya.
Sio kwa enzi ya Magufuli, tena yule hawawezi kumjaribu maana alishasema asijaribiwe. Wathubutu kugoma goma huko Tanzania ndio watajua pushups alizokua anafanya wakati wa kampeni zilikua na umuhimu fulani.
 
Safi sana serikali ya KE huu ni usikivu unaopaswa kuigwa.

Lakini nna shaka huu uamuzi wa ghafla umetoka kwa mlengo wa maslahi fulani ya kisiasa na hasa ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi.
Yote khali ni bora watu wapate huduma
 
Waalimu wa Kenya nao kuna kipindi waligoma, je waalimu wenye shahada wao wanalipwaje?
 
MK254
you are obsessed with material thing... what the doctors will earn but not on the fatalities caused by boycotting.

See the title of your daily nation and a briefing on the misfortune.

Doctors' strike is over! But the pain, deaths and costs will be felt for many years.

WEDNESDAY MARCH 15 2017
  • Patients. with cancer, expecting mothers, the terminally ill, the poor and vulnerable and those in emergency care have paid an atrocious price.
  • In December, Ms Tabitha Bitali had also been turned away from Moi Teaching and Referral Hospital, where she was scheduled to undergo a goitre operation.
  • Some patients were turned away from public hospitals while others were abandoned in the facilities as doctors stayed away from their duty stations.
 
hujui nyamaza unafikiri kazi ya usalama ni kuzuia wa Jaluo wasishinde urais pekee
Depay
 
Tanzania bana, eti tunawapa wakenya madaktati 500, wakati kuna hospital kibao hazina hata nurse. pia kenya wamesha maliza mgomo , mwafaka umesha patikana. utaisikia kesho msigwa kasimamishwa kwa kutoa taarifa za uongo
 
Sio kwa enzi ya Magufuli, tena yule hawawezi kumjaribu maana alishasema asijaribiwe. Wathubutu kugoma goma huko Tanzania ndio watajua pushups alizokua anafanya wakati wa kampeni zilikua na umuhimu fulani.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Amani haiji mpaka ncha ya upanga
 
[/QUOTE]
Hatimaye akili zimekurudi , naona leo umechangia vyema kwa kutumia kichwa. Keep it up
BTW Wakenya wako mbali sana kuliko sisi, na ni watu wanaojitambua. Hawawekwi makwapani na watawala a.k.a wanasiasa.
Laiti kama watu kama Barbarosa wangejitambua na kuacha kulamba viatu vya watawala tungekuwa mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…