Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Najua umenimiss baba Kaa chini i entertain ur comments
Na hawa Je, ni lini Raisi Uhuru Kenya atawakumbuka?
(School children camp at Nyimbei primary school in Baringo South, Kenya)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua umenimiss baba Kaa chini i entertain ur comments
Usikivu watu wameteseka miezi mitatuSafi sana serikali ya KE huu ni usikivu unaopaswa kuigwa.
Lakini nna shaka huu uamuzi wa ghafla umetoka kwa mlengo wa maslahi fulani ya kisiasa na hasa ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi.
Hawapigi kura hao , watakumbukwa wakikuaNa hawa Je, ni lini Raisi Uhuru Kenya atawakumbuka?
![]()
1st That is just low...
2ndly Kiyawi is Tanzanian so Umejipa own goal ya kijinga
3rdly Tanzanians make up the Third Largest Foreign fighters in alshabaab; Chekeni chekeni Kenya but Keep in Mind US defence ministry has submited to their Congress on deploying close to 1000 SF in Somalia those same Tanzanian alshabaab agents will return to Tanzania sooner or later
Hapo ndipo utajua kuwa Kutroll wakenya juu ya terror ni Low !!
Hawajatolewa kucha lakini wengi wamezikwa...... kuna wengine wamezika wake zao, watoto zao, wajawazito wao, waume zao, bibi zao, babu zao... orodha ni ndefu.Hongereni wa Kenya. Mwisho wa siku hakuna aliyetolewa kucha. Kila la heri mnaposogea hatua kwenye uchumi wa kati.
Watanzania tujifunze. Nchi haiwezi kuendelea kama wanaoneemeka ni wanasiasa tu.
Kwa ng'ombe wa nyumbani kwetu huyu watapata vilema na wengine kupotea vile alivyo na roho mbaya.Kijana daktari anayetokea chuo bila ujuzi (medical intern) atakua anapiga mpunga wa kitita cha Kshs 196,244 (Tshs 4,513,612)
Daktari Kenya anayeanza taaluma, yaani entry level ya job group N (mid-level medical officer) mshahara wake umepanda kutoka Ksh 146,190 (Tshs 3,362,370) hadi Kshs 241,524 (Tshs 5,555,052) hii ni pamoja na mafao mengine saba.
Wale specialist mishahara yao imepanda hadi Kshs 442,060 (Tshs 10,167,380) pamoja na mafao lukuki.
Hongera zao, ila ingekua bora maafikiano kama haya yanatekelezwa bila maafa kwa Wakenya, wengi tumeteseka kisa pande zote mbili hakuna aliyekua tayari kushuka. Natumai na kuomba wana taaluma zingine wasiingie kwenye migomo na pawe na jinsi ya kuwarekebishia maana tukiendelea hivi, sitashangaa kuwaona wanajeshi wetu nao wamegoma japo hawaruhusiwi.
![]()
Death, pain: Cost of hospital strikes
Sio kwa enzi ya Magufuli, tena yule hawawezi kumjaribu maana alishasema asijaribiwe. Wathubutu kugoma goma huko Tanzania ndio watajua pushups alizokua anafanya wakati wa kampeni zilikua na umuhimu fulani.
Yote khali ni bora watu wapate hudumaSafi sana serikali ya KE huu ni usikivu unaopaswa kuigwa.
Lakini nna shaka huu uamuzi wa ghafla umetoka kwa mlengo wa maslahi fulani ya kisiasa na hasa ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi.
Waalimu wa Kenya nao kuna kipindi waligoma, je waalimu wenye shahada wao wanalipwaje?Kijana daktari anayetokea chuo bila ujuzi (medical intern) atakua anapiga mpunga wa kitita cha Kshs 196,244 (Tshs 4,513,612)
Daktari Kenya anayeanza taaluma, yaani entry level ya job group N (mid-level medical officer) mshahara wake umepanda kutoka Ksh 146,190 (Tshs 3,362,370) hadi Kshs 241,524 (Tshs 5,555,052) hii ni pamoja na mafao mengine saba.
Wale specialist mishahara yao imepanda hadi Kshs 442,060 (Tshs 10,167,380) pamoja na mafao lukuki.
Hongera zao, ila ingekua bora maafikiano kama haya yanatekelezwa bila maafa kwa Wakenya, wengi tumeteseka kisa pande zote mbili hakuna aliyekua tayari kushuka. Natumai na kuomba wana taaluma zingine wasiingie kwenye migomo na pawe na jinsi ya kuwarekebishia maana tukiendelea hivi, sitashangaa kuwaona wanajeshi wetu nao wamegoma japo hawaruhusiwi.
![]()
Death, pain: Cost of hospital strikes
hujui wewe nyamaza.Sasa Intelligence na issue ya Madaktari inakutana wapi. Wakati mwingine unaficha ufidhuli usije ukaonekana mshenzi wa kutupwa
hujui wewe nyamaza.
Mkuu Depay ni Mkenya sio mTanzaniaJust Check this Tz chap from Kata schools' poor English! What a pity.
These you call albino eaters solved your clan cleansing after the 2007/2008 election violence.I don't argue with Albino eaters. Fool
Useless people ..anakubali wakati mgomo ulishaiasha [emoji23][emoji23][emoji23]watz wana mambo ..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sio kwa enzi ya Magufuli, tena yule hawawezi kumjaribu maana alishasema asijaribiwe. Wathubutu kugoma goma huko Tanzania ndio watajua pushups alizokua anafanya wakati wa kampeni zilikua na umuhimu fulani.
Amani haiji mpaka ncha ya upangaKijana daktari anayetokea chuo bila ujuzi (medical intern) atakua anapiga mpunga wa kitita cha Kshs 196,244 (Tshs 4,513,612)
Daktari Kenya anayeanza taaluma, yaani entry level ya job group N (mid-level medical officer) mshahara wake umepanda kutoka Ksh 146,190 (Tshs 3,362,370) hadi Kshs 241,524 (Tshs 5,555,052) hii ni pamoja na mafao mengine saba.
Wale specialist mishahara yao imepanda hadi Kshs 442,060 (Tshs 10,167,380) pamoja na mafao lukuki.
Hongera zao, ila ingekua bora maafikiano kama haya yanatekelezwa bila maafa kwa Wakenya, wengi tumeteseka kisa pande zote mbili hakuna aliyekua tayari kushuka. Natumai na kuomba wana taaluma zingine wasiingie kwenye migomo na pawe na jinsi ya kuwarekebishia maana tukiendelea hivi, sitashangaa kuwaona wanajeshi wetu nao wamegoma japo hawaruhusiwi.
![]()
Death, pain: Cost of hospital strikes
[/QUOTE]Kenya wana Uchumi mkubwa hivyo wanaweza labda kulipa, lkn pia wasiwasahau wengine wanaokufa njaa kwa kukosa hela ya chakula kwa kuwa tu hawana lobby wa kuwapigania mpaka wakumbukwe na donors ktk nje!
Halafu vp kuhusu Wauguzi (nurses) Mishahara yao imepanda kwa kiasi gani kwa maana umeonyesha ya Madakrari tu ningependa kujua pia!