Na vilio vyote hivi tusiviache vikapita kimya kimywa tutafute na kubaini hawa watoa hivi vilio ni yapi manufaa waliyopata kwenye mo 29 na ama wanamlinda nani aliyeqawezesha kupata manufaa kupitia mo29.Kiongozi wa dini wa mchongo eti anaitaka serikali ya Marekani iwakemee Maseneta mara moja utadhani anamwamlisha mke wake, hivi huyu anamjua Trump.
Huyu kipara makurega wa kike kachoka hana jipyaBulaya ni zaidi ya mavi 💩💩
Maaskofu wa vi-kanisa uchwara siku hizi wanapenda kuvaa hizo nguo za kichungaji za Roman Catholic. Tishia toto...Hili genge ni la ovyooooo
Mkubwa ni mkubwa tu.Upuuzi wa Marekani kuendelea kuujadili bungeni, ni kulibagaza Bunge letu, Marekani hatoshi kunyooshea nchi nyingine vidole kuhusu Demokrasia.
Mkubwa ni mkubwa tu.
Mwenye nguvu mpishe, bado.Unakusudia nini?
Wangejua hao majamaa CIA wapo kila korido ya nchi hii hizo hela wanazo poteza kulipana zingeenda kutatua kero ya maji. Wao pamoja na bosi wao wanatumia simu amabazo zimetengenezwa na mataifa hayo ambayo wanajifanya kuwavimbia kwamba tupo huru kujiamulia mambo yetu. Wajui hizo simu wanazo tumia zinarekodi kila kitu wanacho wasiliana?
Akija mwenye nguvu kwako kumgegeda mweza wako utampisha mkuu?Mwenye nguvu mpishe, bado.
Bahati mbaya sina mke.Akija mwenye nguvu kwako kumgegeda mweza wako utampisha mkuu?
Tufanye ndio unae Sasa, vipi utampisha ajilie?Bahati mbaya sina mke.