Tanzania siasa zake ni za kutofungamana na nchi yeyote na Kiongozi wetu katika hilo ni INDIA. PARIODKiongozi wa dini wa mchongo eti anaitaka serikali ya Marekani iwakemee Maseneta mara moja utadhani anamwamlisha mke wake, hivi huyu anamjua Trump.
Niazime mke wako halafu mwambie mwenye nguvu aje.Tufanye ndio unae Sasa, vipi utampisha ajilie?
Ya jiwe ulikuwa very easy. Kwa sasa wanafuata viongozi wengine kupigwa pini. Msije kujidanganya kwamba ni USA tu, subiri EU na UK nazo zinakuja very soon. Watalia na mama Yao sana hai wabunge Feki.Tanzania siasa zake ni za kutofungamana na nchi yeyote na Kiongozi wetu katika hilo ni INDIA. PARIOD
Hali hii imeshawahi kumkuta JIWE, na JIWE alipambana kweli kweli na Marekani, hadi Balozi Mwanamama wa Marekani akafukuzwa kimya kimya kurudi Marekani
Mnacholialia nini sasa.Tanzania siasa zake ni za kutofungamana na nchi yeyote na Kiongozi wetu katika hilo ni INDIA. PARIOD
Hali hii imeshawahi kumkuta JIWE, na JIWE alipambana kweli kweli na Marekani, hadi Balozi Mwanamama wa Marekani akafukuzwa kimya kimya kurudi Marekani
Nipe Quinine nimeze nisilie mkuuMnacholialia nini sasa.
Mimi najua Tanzania hata kama ni mgonjwa ukampima Full Blood Picture, hutokuja kuona ugonjwa unaomsumbua...maana Tanzania ni nchi ambayo Ina rasilimali za kutosha kuliko DRCYa jiwe ulikuwa very easy. Kwa sasa wanafuata viongozi wengine kupigwa pini. Msije kujidanganya kwamba ni USA tu, subiri EU na UK nazo zinakuja very soon. Watalia na mama Yao sana hai wabunge Feki.
Hizo rasilimali zimetusaidia nini.Mimi najua Tanzania hata kama ni mgonjwa ukampima Full Blood Picture, hutokuja kuona ugonjwa unaomsumbua...maana Tanzania ni nchi ambayo Ina rasilimali za kutosha kuliko DRC
Zimenunua Land Cruiser za kisasa kabisa Mwaka wa mbele mwanangu...tena VXR toleo la mbele kabisaHizo rasilimali zimetusaidia nini.
Kuna watu mkipewa uongozi wa taifa hili kwa namna mlivyo malimbukeni na hao wazungu, kuna uwezekano mkubwa sana mtaifanya vibaya kuliko hata hao CCm, ni bora mbaki wapinzan mileleKiongozi wa dini wa mchongo eti anaitaka serikali ya Marekani iwakemee Maseneta mara moja utadhani anamwamlisha mke wake, hivi huyu anamjua Trump.
Wewe umefanya juhudi zipi ili kuweza kufaidika nazo?Hizo rasilimali zimetusaidia nini.
Tena mavi baridi ya watery diarrheaBulaya ni zaidi ya mavi 💩💩
Muulize Abdul anayenufaika nazo.Wewe umefanya juhudi zipi ili kuweza kufaidika nazo?
SawaKuna watu mkipewa uongozi wa taifa hili kwa namna mlivyo malimbukeni na hao wazungu, kuna uwezekano mkubwa sana mtaifanya vibaya kuliko hata hao CCm, ni bora mbaki wapinzan milele
uyu ester bulaya alipokuwa chadema alikuwa na akiliKiongozi wa dini wa mchongo eti anaitaka serikali ya Marekani iwakemee Maseneta mara moja utadhani anamwamlisha mke wake, hivi huyu anamjua Trump.
Upuuzi wa Marekani kuendelea kuujadili bungeni, ni kulibagaza Bunge letu, Marekani hatoshi kunyooshea nchi nyingine vidole kuhusu Demokrasia.
Kiongozi wa dini wa mchongo eti anaitaka serikali ya Marekani iwakemee Maseneta mara moja utadhani anamwamlisha mke wake, hivi huyu anamjua Trump.