Marekani inataka kuigawanya Tanzania kidini nk. Lkn Watanzania ni wabobezi sana
Marekani inapenda kuoa Damu za watu sio kuzuiya Damu wa watu kumwagika historia ndio inatwambia sio mm nasema!!!
Nigeria 🇳🇬 Marekani imeenda kujidai kulinda Wakristo ni uwongo mtupu !!
lengo kuligawanya lile Taifa wauwane wenyewe kwa wenyewe ili wapungue kwenye Dunia Tuwape muda vile Marekani yupo pale majibu watayapata!
Marekani nchi yoyote yenye idadi kubwa ya raia yenyewe lazima wasielewane nao !!
mfano Pakistan na India
Marekani miaka yote wanaichukia India sababu ya kuwa na raia wengi mgogoro kati ya Pakistan na India Marekani yupo kwenye kuchochea
India ilisaidiwa na Russia kimyakimya kupata silaha za Nuclear na ikaTest ikawekewa vikwazo na UN !!
Marekani alaka kimyakimya ikaisaidia Pakistan kumiliki silaha za Nuclear nayo ikaTest Nuclear yake !!
kikatokea nini ! Badala waekewe vikwazo wote kama Sheria inavosema!!
Marekani ikadai kwakuwa wote wameTest basi tuwasamee wote!🤣🤣¿¿
Mwenye akili wataelewa India ilitakiwa kumiliki Nuclear na uyo uyo Marekani
China nayeye yupo na Nuclear na kuna mgogoro kwenye mpaka kati ya China na India!!
Manake Marekani lengo lake kusambaza silaha za Nuclear eneo kuliko na Binadamu wengi yani India na China,✍️