Walifikiri Marekani inatania, vilio vimeanza kusikika ndani na nje ya bunge

Wangejua hao majamaa CIA wapo kila korido ya nchi hii hizo hela wanazo poteza kulipana zingeenda kutatua kero ya maji. Wao pamoja na bosi wao wanatumia simu amabazo zimetengenezwa na mataifa hayo ambayo wanajifanya kuwavimbia kwamba tupo huru kujiamulia mambo yetu. Wajui hizo simu wanazo tumia zinarekodi kila kitu wanacho wasiliana?
 
Upuuzi wa Marekani kuendelea kuujadili bungeni, ni kulibagaza Bunge letu, Marekani hatoshi kunyooshea nchi nyingine vidole kuhusu Demokrasia.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…