Walifikiri Marekani inatania, vilio vimeanza kusikika ndani na nje ya bunge

Tanzania siasa zake ni za kutofungamana na nchi yeyote na Kiongozi wetu katika hilo ni INDIA. PARIOD

Hali hii imeshawahi kumkuta JIWE, na JIWE alipambana kweli kweli na Marekani, hadi Balozi Mwanamama wa Marekani akafukuzwa kimya kimya kurudi Marekani
 
Ya jiwe ulikuwa very easy. Kwa sasa wanafuata viongozi wengine kupigwa pini. Msije kujidanganya kwamba ni USA tu, subiri EU na UK nazo zinakuja very soon. Watalia na mama Yao sana hai wabunge Feki.
 
Mnacholialia nini sasa.
 
Ya jiwe ulikuwa very easy. Kwa sasa wanafuata viongozi wengine kupigwa pini. Msije kujidanganya kwamba ni USA tu, subiri EU na UK nazo zinakuja very soon. Watalia na mama Yao sana hai wabunge Feki.
Mimi najua Tanzania hata kama ni mgonjwa ukampima Full Blood Picture, hutokuja kuona ugonjwa unaomsumbua...maana Tanzania ni nchi ambayo Ina rasilimali za kutosha kuliko DRC
 
Bulaya hana mshipa wa aibu, kusema walinadi sera wakachaguliwa...!!!
 
uyu ester bulaya alipokuwa chadema alikuwa na akili

lakin sasa hv yupo makijan ameshakuwa chizi tena

hivi kweli angekuwa na akili angeongea hiyo kauli kwamba tanzania haitakubali siasa za shinikizo?
ujinga mnaufanya ninyi wenyewe

nchi ina kila kitu matokeo yake mnaifasadi kisha mnaenda wenyewe kuwalamba matako watu weupe

wakiwawekea vikwazo mnaanza kutupigia ving'ola hapa
wajinga kabisa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…