Walifikiri Marekani inatania, vilio vimeanza kusikika ndani na nje ya bunge

Hiyo shekhe ubwabwa ndiyo anaharibu kabisa. Tuhuma mojawapo ni viongozi wa kiroho wa wakristo kufanyiwa vitendo vya kishetani, halafu anatokea shekhe ubwabwa anaikingia mkono serikali inayotuhumiwa! Haoni kama atakuwa ndiyo anathibitisha tuhuma kuwa uovu wa serikali unaungwa mkono na mashekhe?
 
Muswada umeshasomwa mara mbili bado kupitishwa na Senate then house of representatives halafu Rais asaini kuwa sheria.

Mchakato bado, ngoja tuone.
 
Muswada umeshasomwa mara mbili bado kupitishwa na Senate then house of representatives halafu Rais asaini kuwa sheria.

Mchakato bado, ngoja tuone.
Najiuliza, huyu Stroke ndiye yuleyule wa enzi ya Kikwete au mwingine.
 
Wazungu wameshafilisika kitambo kwasasa wenyewe wanamadeni kibao iyo Marekani inadeni kubwa sana Siasa +Uchumi

Wazungu kwasasa wamebaki na Siasa tu sio Uchumi tena.

Uchumi tupo na China πŸ‡¨πŸ‡³

Siasa ya Wazungu hazisomeki Demokrasia yao ni Fake
Haki za Binadamu kwao ni nyenzo za mashinikizo kutaka kuchukua chochote kwako kwa mashinikizo!!!

sio kweli wanapigania haki za Binadamu

Matukio yao ni mengi
Venezuela Cuba Palestine

WAZUNGU pale Palestine wanashiliki kuwauwa kina Mama na watoto wanaopigania haki yao yenye kutambuliwa na Umoja wa Mataifa

Wamewapachika jina la Magaidi

Mshangao ile Ardhi wanayouwawa Wapalestina kisheria za Umoja wa Mataifa wanaitambua ni ya WapalestinaΒΏΒΏ

lkn Mzungu anakuuwa umo umo kwa kukwita Gaid tu !!

tayali yeye kapata sababu ya kuuwa kizazi chenu na kuitwaa iyo Ardhi yenu

na kujenga nyumba za kukaa Wazungu!!!!

Hii ndio Demokrasia ya Mzungu pale PALESTINE washakufa Wananchi 70000+ na kila uchao wanaendelea kuwauwa na kuchukua Ardhi zao Marehemu

Nelson Mandela mwenyewe walimtwika Ugaidi

Venezuela leo Mafuta yao yanabebwa na mwenye Demokrasia yake

Lkn mm sioni ubaya ikiwa Marekani itawazuiya wanaCCM kwenda kwao Pesa nyingi zitaokolewa muhimu tujenge nchi yetu.
 

Attachments

  • HJI62lQXIAAZDq-.jpeg
    68.2 KB · Views: 9
  • 4by66a1fa1e50e1y6z0_440C247.jpg
    26.3 KB · Views: 14
  • F81p1inWYAAqkaR.jpeg.jpg
    54.7 KB · Views: 10
Marekani inataka kuigawanya Tanzania kidini nk. Lkn Watanzania ni wabobezi sana

Marekani inapenda kuoa Damu za watu sio kuzuiya Damu wa watu kumwagika historia ndio inatwambia sio mm nasema!!!

Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ Marekani imeenda kujidai kulinda Wakristo ni uwongo mtupu !!
lengo kuligawanya lile Taifa wauwane wenyewe kwa wenyewe ili wapungue kwenye Dunia Tuwape muda vile Marekani yupo pale majibu watayapata!

Marekani nchi yoyote yenye idadi kubwa ya raia yenyewe lazima wasielewane nao !!

mfano Pakistan na India

Marekani miaka yote wanaichukia India sababu ya kuwa na raia wengi mgogoro kati ya Pakistan na India Marekani yupo kwenye kuchochea

India ilisaidiwa na Russia kimyakimya kupata silaha za Nuclear na ikaTest ikawekewa vikwazo na UN !!

Marekani alaka kimyakimya ikaisaidia Pakistan kumiliki silaha za Nuclear nayo ikaTest Nuclear yake !!

kikatokea nini ! Badala waekewe vikwazo wote kama Sheria inavosema!!

Marekani ikadai kwakuwa wote wameTest basi tuwasamee wote!🀣🀣¿¿

Mwenye akili wataelewa India ilitakiwa kumiliki Nuclear na uyo uyo Marekani

China nayeye yupo na Nuclear na kuna mgogoro kwenye mpaka kati ya China na India!!

Manake Marekani lengo lake kusambaza silaha za Nuclear eneo kuliko na Binadamu wengi yani India na China,✍️
 
Hivi Mpendwa wetu alikufa kwa ugonjwa gani? Corona? Tanzania ipambane na USA? Unajifananisha na India?! Kwanini hatutaki kukubali kuna tatizo na linahitaji busara kulirekebisha? Au mpaka usikie DSE imeporomoka ndio utaelewa. Mkuu hao sio wa kushindana nao.
 
Kilichofuata kwa jiwe si ulikiona yupo hai?
 
Tarehe 29 marekani ilikuwepo ?
 
ccm waache kuishi kwa kupenda kesi kesi kumtumia msajili wa vyama kuonea chadema kutumia dola kuwanyanyasa chadema badala ya kulalamika bungeni wajikite kuacha mizengwe kwa chadema wamwachie Lisu toka Gerezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…