Walijaribu kuahirisha mechi ya Simba na Nkana ili kupisha mapokezi ya ndege

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya ndege mpya , hata hivyo juhudi zao ziligonga mwamba baada ya jambo hili kuwa nje ya uwezo wa TFF.

Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege , hivi hapa ndio tulipofikia kweli ?
 
What tha ffff
 
Ndege ilikua ya kufika jana ila ilishinda kutua moja kwa moja JNIA, elitua accra Ghana, asubhi ikaanza safari za Dar ndo nimefika leo wali over rate uwezo wake wa masaa ya kukaa angani
 
Wewe nae ili mradi tu uandike.. Mnatujazia saver bana. Mi nimekimbia kufungua nikazani walitaka isichezwe ili Nkana apewe point za bure? Kumbe ilikuwa ni uzalendo tu ili watu wengi wahudhulie.. Ona sasa mtu kama bashite hakuweza kwenda.. N.K
 
Nilikuwa sehemu dar mamia tunaangalia match huku mapokezi ya ndege wanaangaliwa na watu wawili akiwemo mmoja aliyewahi kuwa dc na mgombea ubunge kupitia ccm iringa
mubarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…