Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya ndege mpya , hata hivyo juhudi zao ziligonga mwamba baada ya jambo hili kuwa nje ya uwezo wa TFF.
Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege , hivi hapa ndio tulipofikia kweli ?
Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege , hivi hapa ndio tulipofikia kweli ?