Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ni kung'ang'ana mpaka kieleweke na akiondoka na kila mradi aliouanzisha utaenda ndivyo inavyotengenezwa abaki ba hakuna jinsi wacha tuone
Kutokana na simba kufuzu jana, watu wengi radioni na kwenye TV walikuwa wanasikiliza mpira, na kesho magazeti yatanunuliwa ili mpira usomwe, TFFF hii ni hujuma kwa uongozi
Mantiki gani zaidi ya kuona jinsi mpira ulivyoteka sherehe tukufuAkili zingine zinawafaa wenyewe!!! Sasa hapa mleta mada umeandika nini? Uzi usio na mantiki yeyote.
Kuna uthibitisho wa hilo mkuu? Chanzo cha habar hii tukijue ili tusichangie tango pori mkuuAma kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya ndege mpya , hata hivyo juhudi zao ziligonga mwamba baada ya jambo hili kuwa nje ya uwezo wa TFF.
Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege , hivi hapa ndio tulipofikia kweli ?
Hata CCM wameliona hilo yeye ni serikali yangu, siyo serikali ya CCM, wamemwambia lakini anawalia timing kuwapeleka ukongaKauli nzuri tumenunua, maana ni zetu sote na yeye atapita ndege zitaendelea kuwepo. Akisema amenunua maana akimaliza ataondoka nazo.
Engineer Soma Wewe Ngapi Hiyo
Maombi bado hawajapata kibali "KIBRI"kiko pale pale.BWANA MUNGU tusaidie.Hizi ndege nimenunua, utashangaa akija mwingine anauza kwa laki mbili
By Rais Wa JMT JPM
Mapunda Utapanda Bure Ila Sasa Usipande Kila SikuMaombi bado hawajapata kibali "KIBRI"kiko pale pale.BWANA MUNGU tusaidie.
Hizi ndege nimenunua, utashangaa akija mwingine anauza kwa laki mbili
By Rais Wa JMT JPM
Anasingizia wengine na yeye ni moja Kati yaokama mauzo ya zile nyumba
Ata hili la kijikwaza serikali ya CCM nalo si katika uzalendo. Kauli nzuri na ya kizalendo ni kutamka serikali ya Tanzania kama wenzetu wa America na kauli ya American Gvt na sio Rep/Democratic gvt.Hata CCM wameliona hilo yeye ni serikali yangu, siyo serikali ya CCM, wamemwambia lakini anawalia timing kuwapeleka ukonga
Mkuu nadhani hiyo no furaha ya ushindi tu hamna kingineAkili zingine zinawafaa wenyewe!!! Sasa hapa mleta mada umeandika nini? Uzi usio na mantiki yeyote.
Mkuu nadhani hiyo no furaha ya ushindi tu hamna kingine
nimecheka sana !Mapunda Utapanda Bure Ila Sasa Usipande Kila Siku
Yaani tuache kuangalia mechi tukaangaloe ndege mbona wanaturudisha nyuma sana!!Hili Tangopori hili
Kawadanganyeni huyoYaani tuache kuangalia mechi tukaangaloe ndege mbona wanaturudisha nyuma sana!!
Uthibitishotupe uzibitisho kwahilo jambo ndotunalisikia kwako