Walijaribu kuahirisha mechi ya Simba na Nkana ili kupisha mapokezi ya ndege

Walijaribu kuahirisha mechi ya Simba na Nkana ili kupisha mapokezi ya ndege

Haina jinsi mpaka serikali iweke utaratibu wa kuwa kila rais ajaye aendeleze vya rais aliyetoka. America wamefanya hivyo ndio maana wana maendeleo.

Sis kila rais anaekuja anakuja na lake. Tulikuwa hatuna vipaombele vya kueleweka.
Ni kung'ang'ana mpaka kieleweke na akiondoka na kila mradi aliouanzisha utaenda ndivyo inavyotengenezwa abaki ba hakuna jinsi wacha tuone
 
Kutokana na simba kufuzu jana, watu wengi radioni na kwenye TV walikuwa wanasikiliza mpira, na kesho magazeti yatanunuliwa ili mpira usomwe, TFFF hii ni hujuma kwa uongozi
 
Kutokana na simba kufuzu jana, watu wengi radioni na kwenye TV walikuwa wanasikiliza mpira, na kesho magazeti yatanunuliwa ili mpira usomwe, TFFF hii ni hujuma kwa uongozi

Akili zingine zinawafaa wenyewe!!! Sasa hapa mleta mada umeandika nini? Uzi usio na mantiki yeyote.
 
Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno ! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya ndege mpya , hata hivyo juhudi zao ziligonga mwamba baada ya jambo hili kuwa nje ya uwezo wa TFF.

Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege , hivi hapa ndio tulipofikia kweli ?
Kuna uthibitisho wa hilo mkuu? Chanzo cha habar hii tukijue ili tusichangie tango pori mkuu
 
Kauli nzuri tumenunua, maana ni zetu sote na yeye atapita ndege zitaendelea kuwepo. Akisema amenunua maana akimaliza ataondoka nazo.
Hata CCM wameliona hilo yeye ni serikali yangu, siyo serikali ya CCM, wamemwambia lakini anawalia timing kuwapeleka ukonga
 
Hizi akili za cdm bana, wamezoea sana fitina. Yaani kama michawi vile haipendi kabisa amani.
 
Hata CCM wameliona hilo yeye ni serikali yangu, siyo serikali ya CCM, wamemwambia lakini anawalia timing kuwapeleka ukonga
Ata hili la kijikwaza serikali ya CCM nalo si katika uzalendo. Kauli nzuri na ya kizalendo ni kutamka serikali ya Tanzania kama wenzetu wa America na kauli ya American Gvt na sio Rep/Democratic gvt.
 
matukio yote ni mema kwa nchi, mechi na ndege,hapo hakuna hujuma Bali uzalendo, tusilaum tuuuuuuu kama mazuzu
 
Back
Top Bottom