Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Hata mimi mchina koko wa Kyela naanza kuwaelewa Wachina, maana kila kilicho juu ya nchi kwao ni deal, kasoro kunguru ndo sioni kama wanatafutwa.Wakati wa vita vya tariffs vilivyoanzishwa na Trump dhidi ya China mwaka 2024, baadhi ya kampuni zilihamisha uzalishaji China na kwenda mataifa kama Vietnam, Indonesia na India.
Hatimaye wamegundua kuwa Trump aliwapeleka chaka wamelazimika kurudi tena China.
Companies left China to dodge tariffs. Now some are heading back
βReuters
Waliondoka China wakidhani tariff ndiyo tatizo. Wakafika kwingine wakagundua tatizo kubwa zaidi: hakuna sehemu nyingine duniani yenye ecosystem ya manufacturing ya China.
Unaweza kuhamisha kiwanda, lakini huwezi kuhamisha kwa urahisi suppliers, skilled workers, logistics, infrastructure na industrial ecosystem ya China.
Baadhi ya kampuni zilizohama hizi ndio shuhuda zao:
"China's supply-chain advantage is still too great, and it is difficult to replicate domestic production elsewhere."
βKuang (Dawang Machinery)
βI shut down the workshop I opened in Ho Chi Minh City, Vietnam in 2024 and moved production back to China this year. I had trouble finding the equipment I needed in Vietnam, and even had to import basic items from China, such as screws and moulds for cup holders.β
βJin Chaofeng (An exporter of outdoor furniture in Hangzhou)
U.S. retailer Target (TGT.N), opens new tab has moved some orders back to Chinese suppliers.
Shein, the Chinese fast-fashion retailer, is also scaling back some operations in Vietnam, according to people familiar with its operations there.
"Some buyers who shifted production elsewhere said they are keeping or restoring Chinese suppliers because factories abroad struggle to match its skilled labour, supplier networks and reliable β power."
βReuters
China ni lidude fulani huwezi kulikimbia katika dunia ya sasa kwenye manufacturing na logistics.
China haikuwafukuza waliondoka wenyewe, halafu reality ikawakaribisha kurudi.
Dunia imegundua kwamba inahitaji mfumo mzima wa uzalishaji wa China.
CREDIT: https://www.reuters.com/business/re...tariffs-now-some-are-heading-back-2026-09-14/
China haijawahi kusema kwamba siku moja itakuja kuwa superpowerMkuu inaonekana utanenepa sana siku China amekuwa the only super power hana mshindani, USA sijui Ulaya wamekubali kuwa China ndo baba ndo mama na kumwagia sifa zote maana unaipenda sana China.
ππ Wachina wamefanya kila kilicho juu ya nchi kuwa fursaangani ni drones, ardhini ni biashara, baharini ni logisticsHata mimi mchina koko wa Kyela naanza kuwaelewa Wachina, maana kila kilicho juu ya nchi kwao ni deal, kasoro kunguru ndo sioni kama wanatafutwa.
Hii ndiyo point yenyewe! π₯China wameigawanya nchi Yao Kwa Zone, hawajarundika Kila kitu sehemu moja, Kila zone ime base kwenye sehemu Fulani, ukienda YIWU unaweza kuchanganyikiwa unakutana na small products nyingi nyingi zinauzwa hata nyingine hujawahi kuziona, Yaani kama ni mfanyabiashara wa Afrika na mifumo yako imekaa vizuri basi unaweza kupata Utajiri usioutarajia kabisa....
Umegusa moyo wa manufacturingChina hata ukitaka Screw kama sindano ndani ya muda mfupi unaletewa na suppliers zaidi ya watano, unajua kwenye manufacturing ishu sio kuzalisha Bali ishu ni kwamba Je unaweza kupata suppliers wa kulisha kiwanda au firm Kwa wingi,haraka na ubora na Je skilled personell wenye uwezo wa Ku adopt na teknolojia Kwa haraka unao?, CHINA anavyo Vyote hivyo tena plus Energy infrastructure ni top tier hata Western Countries zinasubiri....
Umesema vyemaChina ana balaa sana kwenye manufacturing supply chain
Kwa sbb ya ushabiki bado kuna watu wanaendelea kusema west wako juu, ukweli ni kwamba west anaporomoka kwa kasi sana, huyu jamaa macho ndogo kamgusa hata Mngindo wa kipatimu kule (rejea boda boda zilivyo zagaa)Umesema vyema
Uaweza ukataka suppliers wa critical component fulani kwenye mataifa mengine na usipate hata supplier mmoja
Ukienda China unaweza ukapata suppliers hata zaisi ya 50 na wote wanafika hadi mlangoni kwako