Walikuwa na Nguvu, Ari, na Kasi ya Ushindi ila Hawakuwa na Uwezo

Walikuwa na Nguvu, Ari, na Kasi ya Ushindi ila Hawakuwa na Uwezo

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Timu hii ya Simba inayo kazi moja tu, Kujenga Uwezo wa kushinda game.

Sisi zote ni mashahidi, kwenye timu hii, nia ipo, nguvu ipo, ari ipo, kasi ipo, tatizo ni uwezo mdogo sijui ni wa kufikiri au kocha na wachezaji!
 
Timu hii ya simbwa inayo kazi moja tu, Kujenga UWEZO wa kushinda game.

sisi zote ni mashahidi, kwenye timu hii, nia ipo, nguvu ipo, ari ipo, kasi ipo. Tatizo ni uwezo mdogo sijui ni wa kufikiri au kocha na wachezaji...
Inferiority complex dhidi ya waarabu ndicho kinachotutesa Wana Simba

We have to learn from our neighbor Yanga
 
Timu hii ya Simba inayo kazi moja tu, Kujenga Uwezo wa kushinda game.

Sisi zote ni mashahidi, kwenye timu hii, nia ipo, nguvu ipo, ari ipo, kasi ipo, tatizo ni uwezo mdogo sijui ni wa kufikiri au kocha na wachezaji!
Work rate ya wachezaji wa simba ni ndogo wachezaji hawana pumzi la kutosha kuweza kuzunguka maeneo yao yote ya ulizi kwa speed, ndo kinacho jiponza simba.......na hawana exprience ya kuishinda team kubwa sio wajanja wote akili zao za mpira zinafana no senior players, technical team iongeze aina ya mazoezi kupata high work rate yao.
 
.
 
Attachments

  • 1000051671.jpg
    1000051671.jpg
    93.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom