Walimpa kocha nafasi ya kusajili na bado kawakimbia, simba bado wana akili za kitoto.

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
I salute you kinsmen.

Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu,
Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani.

Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka.

Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe wapo kariakoo tu.

Sasa kuna mtu amenipa za ndani hapo simba kuwa fadlu alikuwa zinaiva sana na tajiri Mo dewji kiasi kwamba kamati ya usajili ile ya wapigaji wakamchukia maana walikosa dili!

Kwamaana hiyo simba ina kamati kibao za upigaji yaani kila mtu boss mule.

Licha ya fadlu kupewa kila alichotaka kiasi kwamba hata angemtaka mke wa mo dewji bado mo angempa ila jamaa kawakimbia zake kwenda Raja.

Sababu za kuwakimbia ni nyingi.

1: team haifundishiki kabisa wachezaji wana vichwa vigumu kama nazi,
Chezaji kama kibu unalifundishaje halifundishiki lipo lipo kama traffic barabarani? Eti ungekuwa wewe ndio fadlu ungefanyaje?

2: wachezaji wengi wazuri aliowataka wameishia kwenda yanga
Lassine kouma,balla musa conte celestine ecua,
Sasa akaona kuna maafa yanakuja bora nikimbie tu na kweli aliona mbali mzee huyu wa watu akawakimbia..

3: uwezo wake mdogo pia.
Simba hawataki kukubali kwamba jamaa alikuwa na uwezo mdogo sana kimbinu, yaani alikuwa sio kocha ni mpanga kikosi tu yule na wachezaji ni hao hao kauka nikuvae.
Sasa kafungwa na makocha watatu wote wa yanga waliopita na huyu mgeni Folz kwanini abaki? Si aibu hiyo bora asepe tu.

4: migogoro ndani klabu
Simba imekuwa team ya kelele tupu ndani, kila mtu ana amri na kila mtu ni boss, mpaka kale kasemaji nako eti kaboss mpaka dereva wa basi naye boss wanamtuma fadlu mpaka dukani akanunue vocha maskini! Kwanini asikimbie.

5: uwanja wa mazoezi mbovu
Hilo ndio kubwa zaidi kocha alidai uwanja wa mazoezi ni mbovu na haujakidhi viwango vyake kama yanga wanakotumia ule wa avic town top class
Analalamika uwanja hauna hata Choo akibanwa na gogo ataenda kulikata wapi? Kichakani? Uwanja una nyasi kama za kulishia mifugo Sasa mpira utadunda kweli?
Uwanja umewekwa viroba ndio mabenchi kwanini asikasirike??

Mwisho wanasimba jengeni team kisomi sana fukuza wote anzeni upya kabisa mpaka hayo machezaji mizigo fukuza yote anza upya.

Tajiri uchwara na machawa yake fukuza anza upya kama mnataka kuchukua ligi kuu basi fanyeni hivyo

Vinginevyo yanga wataendelea kuwapiga na rungu la mbupu

Its Pancho
 
Hao Mwenyekiti wao Rage alipata kuwaita mbumbumbu kwenye mkutano mkuu
Mangungu aliwaletea Manzoki kwenye mkutano mkuu wakafurahi
Try Again aliwaita malofa
 
Vinginevyo yanga wataendelea kuwapiga na rungu ka mbupu

Its Pancho
Top notch huu sasa ndio UTANI wa Yanga kwa SIMBA

hebu tuone wanaMSIMBAZI watajibuje hoja zako,
 
Hao Mwenyekiti wao Rage alipata kuwaita mbumbumbu kwenye mkutano mkuu
Mangungu aliwaletea Manzoki kwenye mkutano mkuu wakafurahi
Try Again aliwaita malofa
Huyo try again inasemekana alikuwa anawafanya simba kama wake zake tu
 
Sio Try Again Bali hata Mangungu aliyewapa ahadi ya kuwafunga Yanga.
Kule yamejaa misukule mambumbumbu na malofa tu
 
Top notch huu sasa ndio UTANI wa Yanga kwa SIMBA

hebu tuone wanaMSIMBAZI watajibuje hoja zako,
Wanasimba wewe huwajui tu

Watakuja na matusi mfululu hapa bila kujibu hata moja zaidi ya matusi

Kuna huyu Lupweko akija haoa atalia sana
 
I salute you kinsmen.

Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu,
Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani.

Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka.

Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe wapo kariakoo tu.

Sasa kuna mtu amenipa za ndani hapo simba kuwa fadlu alikuwa zinaiva sana na tajiri Mo dewji kiasi kwamba kamati ya usajili ile ya wapigaji wakamchukia maana walikosa dili!

Kwamaana hiyo simba ina kamati kibao za upigaji yaani kila mtu boss mule.

Licha ya fadlu kupewa kila alichotaka kiasi kwamba hata angemtaka mke wa mo dewji bado mo angempa ila jamaa kawakimbia zake kwenda Raja.

Sababu za kuwakimbia ni nyingi.

1: team haifundishiki kabisa wachezaji wana vichwa vigumu kama nazi,
Chezaji kama kibu unalifundishaje halifundishiki lipo lipo kama traffic barabarani? Eti ungekuwa wewe ndio fadlu ungefanyaje?

2: wachezaji wengi wazuri aliowataka wameishia kwenda yanga
Lassine kouma,balla musa conte celestine ecua,
Sasa akaona kuna maafa yanakuja bora nikimbie tu na kweli aliona mbali mzee huyu wa watu akawakimbia..

3: uwezo wake mdogo pia.
Simba hawataki kukubali kwamba jamaa alikuwa na uwezo mdogo sana kimbinu, yaani alikuwa sio kocha ni mpanga kikosi tu yule na wachezaji ni hao hao kauka nikuvae.
Sasa kafungwa na makocha watatu wote wa yanga waliopita na huyu mgeni Folz kwanini abaki? Si aibu hiyo bora asepe tu.

4: migogoro ndani klabu
Simba imekuwa team ya kelele tupu ndani, kila mtu ana amri na kila mtu ni boss, mpaka kale kasemaji nako eti kaboss mpaka dereva wa basi naye boss wanamtuma fadlu mpaka dukani akanunue vocha maskini! Kwanini asikimbie.

5: uwanja wa mazoezi mbovu
Hilo ndio kubwa zaidi kocha alidai uwanja wa mazoezi ni mbovu na haujakidhi viwango vyake kama yanga wanakotumia ule wa avic town top class
Analalamika uwanja hauna hata Choo akibanwa na gogo ataenda kulikata wapi? Kichakani? Uwanja una nyasi kama za kulishia mifugo Sasa mpira utadunda kweli?
Uwanja umewekwa viroba ndio mabenchi kwanini asikasirike??

Mwisho wanasimba jengeni team kisomi sana fukuza wote anzeni upya kabisa mpaka hayo machezaji mizigo fukuza yote anza upya.

Tajiri uchwara na machawa yake fukuza anza upya kama mnataka kuchukua ligi kuu basi fanyeni hivyo

Vinginevyo yanga wataendelea kuwapiga na rungu la mbupu

Its Pancho
Akili hazikutoshi au NI QT Class. 1. Umesema kocha kawaleta wachezaji anaowataka kisha akasema aliowataka wameenda Yanga
2. Umesema ameikimbia Simba alaf unasema ana uwezo mdogo.
Dogo, Fanya application VETA nafasi NI chache.
 
Club namba 5 iliwahi kufungwa na fc libolo yaani Simba alifurahia aliwekwa mabao na fc Libolo
Screenshot_20250927-104550.png
 
Akili hazikutoshi au NI QT Class. 1. Umesema kocha kawaleta wachezaji anaowataka kisha akasema aliowataka wameenda Yanga
2. Umesema ameikimbia Simba alaf unasema ana uwezo mdogo.
Dogo, Fanya application VETA nafasi NI chache.
004 umeona kama huyu hapa? Bure kabisa

Hukusikia fadlu analalamika kuwa wachezaji wake wengi aliowataka wameenda yanga?

Alimtaka pia ecua, kouma, conte kwahiyo hao wapo simba??

Akili yako ni ile Ile ya wanasimba ubongo umejaa nnya tu,

Kuniita dogo hakukusaidii hata kidogo ila unatakiwa ujue hayo ni ukweli aliletewa kina mligo na Rushine.

Pole sana mkuu
 
Akili hazikutoshi au NI QT Class. 1. Umesema kocha kawaleta wachezaji anaowataka kisha akasema aliowataka wameenda Yanga
2. Umesema ameikimbia Simba alaf unasema ana uwezo mdogo.
Dogo, Fanya application VETA nafasi NI chache.
Jifunze kusoma vizuri halafu maana hapa naona wewe ndiyo huyo QT nadhani
 
Sasa kumbe timu inatakiwa isajili kwa mapendekezo ya nani kama siyo kocha?

Itakuchukua miaka mingi sana kuujua mpira.
 
Back
Top Bottom