JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,403
- 11,912
Wakati ndugai anawaambia ukweli wakaamua kushugulika nae, wakalala nae mbele.
Vijana wa CCM walivimba haswa. Sasa maisha yetu yanapojazwa Tozo hadi CCM wenyewe wanalialia tu. Ila wakimuona mwenyekiti wao wanaendeleza unafiki wa kusifia hakuna kama yeye tangu awamu ya kwanza.
Kila mtu sasa hivi anataka asemewe na CHADEMA/Mbowe hata kama yeye ni mwenyekiti wa CCM mkoa.
Wanatamshughulia nani mwingine?
#Kataa wahuni.