Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Askofu mkuu wa canterbury anamjua? Analijua hilo?Mzee Ndugai ni mshauri wa baba Askofu Mkuu wa Canterbury
Askofu mkuu wa canterbury anamjua? Analijua hilo?Mzee Ndugai ni mshauri wa baba Askofu Mkuu wa Canterbury
Kama hamjui angemchaguaje?Askofu mkuu wa canterbury anamjua? Analijua hilo?
Ukimpongeza wewe inatosha acha kuweka wingi kwenye uchawa wako.Acha upotoshaji wako hapa, watanzania wanampongeza Sana mh Rais wetu kwa namna alivyosogeza huduma karibu yetu kupitia kodi na tozo zetu, huduma zimesogezwa vizuri huku vijijini kwetu na tunafurahia kuona Sasa tumepunguziwa adha na kero ya kutembea umbali mrefu kutafuta na kufuata huduma
Kwani Hukusikia Jana takwimu juu ya mafanikio yaliyotokana na tozi? Vituo 234 vya Afya vimejengwa,Kichwa mfuniko wa shingo.
Tozo zimeanza kazi mwaka gani hadi zilete unafuu mapema hivi?
Mimi Ni muwakilishi tu wa watanzania wengi Sana nao shinda nao na kukutana nao na kuona namna mh Rais anavyokubalika huku mtaaniUkimpongeza wewe inatosha acha kuweka wingi kwenye uchawa wako.
Uvico zilifanya nini?Kwani Hukusikia Jana takwimu juu ya mafanikio yaliyotokana na tozi? Vituo 234 vya Afya vimejengwa,
Mimi Ni muwakilishi tu wa watanzania wengi Sana nao shinda nao na kukutana nao na kuona namna mh Rais anavyokubalika huku mtaani