Sio wajinga ndugu yangu. Ila wanaoongoza ni watu hatari sana. Wao hawnaa compromise kwenye maslahi yao. Wakikuona tu uko vocal kichwa chako ni halali yao.Tz imebarikiwa haswa kuwa na wananchi wajinga
"Hili nalo mwende mkalitizame"Wakati ndugai anawaambia ukweli wakaamua kushugulika nae, wakalala nae mbele.
Vijana wa ccm walivimba haswa. Sasa maisha yetu yanapojazwa Tozo hadi CCM wenyewe wanalialia tu. Ila wakimuona mwenyekiti wao wanaendeleza unafiki wa kusifia hakuna kama yeye tangu awamu ya kwanza.
Kila mtu sasa hivi nataka asemewe na CHADEMA/Mbowe hata kama yeye ni mwenyekiti wa CCM mkoa.
Wanatamshughulia nani mwingine?
#Kataa wahuni.
ALIYOYASEMA NDUGAI sasa YANAONEKANAWakati ndugai anawaambia ukweli wakaamua kushugulika nae, wakalala nae mbele.
Vijana wa CCM walivimba haswa. Sasa maisha yetu yanapojazwa Tozo hadi CCM wenyewe wanalialia tu. Ila wakimuona mwenyekiti wao wanaendeleza unafiki wa kusifia hakuna kama yeye tangu awamu ya kwanza.
Kila mtu sasa hivi anataka asemewe na CHADEMA/Mbowe hata kama yeye ni mwenyekiti wa CCM mkoa.
Wanatamshughulia nani mwingine?
#Kataa wahuni.
Kichwa mfuniko wa shingo.Acha upotoshaji wako hapa, watanzania wanampongeza Sana mh Rais wetu kwa namna alivyosogeza huduma karibu yetu kupitia kodi na tozo zetu, huduma zimesogezwa vizuri huku vijijini kwetu na tunafurahia kuona Sasa tumepunguziwa adha na kero ya kutembea umbali mrefu kutafuta na kufuata huduma
Umewapa sifa wasizotakiwa. Sasa basicaly watanzania ni zaidi ya hiloSio wajinga ndugu yangu. Ila wanaoongoza ni watu hatari sana. Wao hawnaa compromise kwenye maslahi yao. Wakikuona tu uko vocal kichwa chako ni halali yao.